Picha 40 za jinsi ilivyokua kwenye mwaliko wa WEUSI usiku wa April 30 2014


18
Kampuni ya WEUSI ambayo ina wasanii kama Joh Makini, Nikki wa II na G Nako ilifanya ile party isiyokua na kiingilio bali kadi maalum kwa kila aliealikwa ili kuitazama kwa mara ya kwanza video mpya ya ‘gere’ ambayo ilifanywa Nairobi Kenya wiki kadhaa zilizopita.
Watu mbalimbali wakiwemo kutoka kwenye makampuni makubwa Tanzania na Mastaa mbalimbali walijitokeza kwenye hoteli ya Mediterano Kawe Dar es salaam.
1
Mtangazaji B12, Nikki wa II, Juniour na producer Nahreel
2
3
5
Mtangazaji Shadee na Vanessa Mdee ambae ni mtangazaji wa 102.5 Choice FM lakini mwimbaji pia
6
7
8
Journalist Oscar Kayanda
9
Joh Makini na G Nako
11
12
13
14
15
Nikki wa II, G Nako, Dj Bike na Joh Makini
16
17
19
20
21
V Money, Nikki wa II na Aika
22
23
Damian Soul na Nikki wa II
24
B12

25
26 Dj AD Mafuvu kutoka East Africa Radio juu, chini ni Nikki akihojiwa na TV 1
27
Staa wa single ya ‘nishike mkono’ D Knob nae alikuepo
28
Ivan Ayo Adam Mchomvu na Francis Ayo
29
Mwimbaji anaesifika kwa voco na kiwango cha kipekee HISIA, aliwahi kuiwakilisha Tanzania Tusker Project Fame
30
Hapa ndio video ilikua inaanza kuonyeshwa.
31
Sehemu tu ya watu wakiitazama video yenyewe ambayo ilibidi irudiwe kuonyeshwa baada ya watu kunogewa na kutaka kuitazama zaidi
32
Baada ya video kutazamwa WEUSI walifanya show na hapa ni G Nako akicheza na V Money a.k.a Vanessa Mdee
33
34
35
Ommy Dimpoz akiwa na 1B na DJ D Ommy wa Times FM
36
Ommy Dimpoz, Shadee, Mwana FA na Ncha Kalih (Reuben Ndege )
37
38
39
Ikafika time ya watu wa nguvu kupiga pichaz na mastaa wa bongo
40
41
Profesa Jay, Ommy Dimpoz na Mwana FA
42
43

picha behind the scenes video mpya ya p-square

The brothers are currently in South Africa to shoot music videos for their new singles. These are pics from the set of the video shoot for O Set. According to Peter Okoye, they will also shoot the video for Testimony. See more photos after the cut...





Picha: Mafikizolo in Nigeria for Davido music collaboration launch

South African top music stars Mafikizolo arrived Lagos late yesterday for the launch of their music collaboration with Davido, Tchelete, tonight.

Mtangazaji, Producer na Wasanii wa bongo wakila ndizi kupinga alichofanyiwa mchezaji wa Barcelona.


Screen Shot 2014-04-30 at 6.02.00 PM
Mtangazaji wa MKASI TV Salama Jabir kupitia page yake ya instagram @ecejay amepost picha ya mastaa kadhaa wa bongo wakiwemo wasanii D-Knob, Godzilla Producer Marco Chali na wengine wakiungana na wabongo kama Mbunge Zitto Kabwe na wengine duniani kupinga ubaguzi wa mchezaji wa Barcelona Dani Alves wa kutupiwa ndizi uwanjani.
.
Screen Shot 2014-04-30 at 5.12.47 PM
Screen Shot 2014-04-30 at 1.50.14 PM

Picha za watu 14 maarufu wakila ndizi kupinga ishu ya Dani Alves, yumo Waziri na msanii Nigeria.


davido
Kwenye mechi kati ya Barcelona na Villareal kuna shabiki mmoja alimrushia ndizi Mbrazil Dani Alves anaeichezea Barca kitendo ambacho kilionyesha kabisa ni ubaguzi wa kufananishwa na Nyani ambapo Dani aliiokota ndizi hiyo na kuila kabla ya kupiga mpira wa kona na kuifanya kama sio ishu.
Baada ya hapo Dani alisema aliamua kula ndizi hiyo kwa sababu baba yake mzazi aliwahi kumwambia kuhusu umuhimu wa mwili wa mwanadamu kupata ndizi.
Ni kitendo kilichosifiwa sana na baadae kuwa topic kubwa ambapo mastaa mbalimbali wamejitokeza kumsupport Dani na kupinga ubaguzi kwa kupiga picha wakiwa wanakula ndizi ambapo miongoni mwao ni Staa wa muziki kutoka Nigeria Davido, mastaa wa soka kama Emmanuel Adebayor, Samuel Eto’o, Neymar na wengine kama wanavyoonekana hapa chini.
TZA SAMUEL ETOO VITA DHIDI YA UBAGUZI WA RANGI
Screen Shot 2014-04-30 at 1.58.22 PM
Screen Shot 2014-04-30 at 1.58.36 PM
Screen Shot 2014-04-30 at 1.58.53 PM
Screen Shot 2014-04-30 at 1.59.24 PM
Screen Shot 2014-04-30 at 1.59.32 PMScreen Shot 2014-04-30 at 2.16.05 PM Screen Shot 2014-04-30 at 2.15.54 PM Screen Shot 2014-04-30 at 2.15.44 PM Screen Shot 2014-04-30 at 2.15.31 PM Screen Shot 2014-04-30 at 2.15.21 PM Screen Shot 2014-04-30 at 2.15.10 PM Screen Shot 2014-04-30 at 2.14.57 PM

HII DUNIA INA REKODI ZA AJABU HUYU NDIYE MWANAUME WA KWANZA ALIYEVUNJA REKODI KWA MCHAFU KULIKO WOTE AISHIYE ULAYA HIZI HAPA.

Europe's dirtiest man Ludvik Dolezal who lives in a hovel spends his nights in buried in hot ash
Ludvik Dolezal burns whatever he finds to create a dirty pile before crawling into it to sleep. He has even burnt his mattress and duvet in order to achieve the perfect mound of fiery remains


Dirty old man: Ludvik Dolezal, 58, burns whatever he finds to create his ¿bed¿ before crawling into it to sleep. He has even burnt his mattress and duvet in order to achieve the perfect mound of fiery remains


Fiery freedom: A year ago, Ludvik Dolezal simply decided to quit his job. Since then he has stayed with the fire