MATOKEO YA MICHEZO YA KUFUZU AFCON 2015.CAMEROON YAIDHALILISHA IVORY COAST YA YAYA TOURE


KATIKA historia yake, klabu ya Simba haijawahi kuwa na uwanja wake wa mazoezi, hivyo kujikuta wakihangaika miaka nenda rudi. Lakini kwasasa unaweza kusema imedhamiria kujenga uwanja wa mazoezi maeneo ya Bunju jijini Dar es salaam. Ismail Aden Rage alipokaribia kumaliza muda wake alianza mchakato wa kujenga uwanja wa Bunju akisema wanataka kupata sehemu ya kufanyia mazoezi. Pia alisema wanakusudia kujenga hosteli za kuishi wachezaji ikiwa ni mkakati wa kupunguza gharama ya kuweka wachezaji hotelini wakati wa kambi. Uongozi mpya chini ya Rais Evans Elieza Aveva alisema uko tayari kuendeleza ujenzi huo ulioanzishwa na Rage. Mpaka sasa nyasi zilishapandwa na muonekano wa uwanja uko kama unavyoonekana pichani juu













PICHA 8: MJI WA PONGWE CITY TANGA UTAKAVYOKUWA NI NOMAA
hili ndilo Tamko la TFF kuhusu tiketi za Ki-elektoniki.
picha 8 jinsi vurugu za mashabiki wa simba na yanga zilizopelekea mashabiki kungoa viti
KAMA ULIKUWA HUJUI HUYU NDIYE MMILIKI WA YANGA ALIYEAIBUKA, ATAKA KWENDA KWA KIKWETE
Taarifa za msiba kutoka kwa Afande Sele
++++EXCLUSIVE++++++PICHA 40 ZA HONEYMOON YA MTOTO WA RAIS WA NIGERIA
Chris Brown & Wizkid kwenye headlines kubwa nchini marekani
(no title)
Nikki Mbishi atangaza kuacha muziki, haya ndio maneno ya Chid Benz kuhusu ishu nzima
Haya ndiyo mauzo ya wimbo wa 2030 wa Roma Mkatoliki kupitia Whatsapp.