Taarifa za msiba kutoka kwa Afande Sele
Msanii wa longtime kwenye bongofleva Afande Sele amewajulisha watu wake wa karibu na mashabiki kuhusu msiba uliomkuta kwa kufiwa na mama wa wanae.
Kupitia ukurasa wa
facebook
Afande Sele aliandika “Ndugu zangu!! Nimefiwa na mzazi mwenzangu (Asha)
/mama wa wanangu (mama Tunda) ..ni pigo kubwa kwangu na wanangu. Sisi
ni waja wa mwenyezi mungu na hakika kwake tutarejea; mungu ampumzishe
pema.”
0 comments: