Picha,Diamond Platnumz Na Zari Njiani,Mpaka Rwanda Na Mapokezi.@mwaka jana


Baada ya show yake ya Burundi, Diamond Platnumz amefunga safari na Zari The Boss lady wakielekea Rwanda ambako kwa mujibu wa Post ya Diamond, atakuwa huko mpaka mwaka 2015.
diamond na zari 1 diamond na zari 2 diamond na zari 3 diamond na zari 4 diamond na zari 5 diamond na zari 6 diamond na zari 7 diamond na zari 8 diamond na zari

0 comments:

Nikki Mbishi atangaza kuacha muziki, haya ndio maneno ya Chid Benz kuhusu ishu nzima


.
.
Baada ya msanii wa Hip Hop Nikki Mbishi aka Baba Malcom kutangaza kuwa ameacha kufanya kazi ya muziki sasa Chid Benz amekanusha taarifa hizo na kusema kuwa ameshafanya mazungumzo na msanii huyo  na kumtaka asichukue uamuzi huo mapema kwani hata yeye amepitia katika changamoto hizo.
Chid Benz alichukua nafasi hiyo kuwataarifu mashabiki wa muziki kupitia ukurasa wa facebook na kuandika ‘Nakanusha habari za Nikki mbishi kuacha mziki,nimeongea nae kama kaka na kumgusia mengi,najua amenielewa na nimemwambia asikubali wale wanaomkubali waanze kukubali wengine.mimi nimekumbana na vingi na watu weengi waliaminishwa kama nimeshushwa kimziki,jimefanyiwa mengi ambayo kwa muda ule nsingeweza kuelezea kila mtu nini kinaendelea,so if kikitokea kibaya kinatangazwa mpk kwenye taarifa za habari mbona mziki hauchezwi?ningekua sina nguvu hio nisingesumbua watu kuniweka front page..but bado nipo na nimekomaa.na naishi na naona wanaopewa kipaumbele na najua bado mimi ni mimi.Iron
.
CREDIT TO:milard ayo

0 comments:

++BREAKING NEWZ++++Kuhusu huyu aliyeuwawa kwa risasi Mahakamani Dar es salaam leo.

Kisutu 4
Saa kadhaa zilizopita Polisi walimfyatulia risasi mtuhumiwa aliejaribu kutoroka baada ya kufikishwa kwenye Mahakama ya Kisutu Dar es salaam asubuhi ya December 31 2014.
Muda mfupi baadae Polisi ikatoa taarifa kwamba mtuhumiwa wa dawa za kulevya aliyeuwawa ni Abdul Koroma raia wa Sierra Leone na aliuwawa kwa risasi wakati akitoroka Mahakamani.
Kisutu 5
kisutu 3
Kisutu 1
kisutu 2
SOURCmilard ayo

0 comments: