Huyu ndiye mtangazaji mwingine anayetegemea kuingia kwenye Siasa 2015
Mtangazaji wa Kipindi cha Ala za Roho kutoka Clouds Fm ‘The people’s Station’ leo kwenye akaunti yake ya Instagram amepost picha ikiwa na maneno haya chini.
‘Natangaza nia ya kugombania ubunge 2015 na kuingia kwenye siasa rasmi 2015,Kama mwanasiasa kijana nina mengi ya kusaidia Taifa na jamii inayotuzunguka yenye vijana wengi,i want to inspire and motivate and i want my voice to be heard,i want to speak up and there’s no turning back,God is Good,i need all strength and i got the big support in this from my close friend,solidarity madaraka kwa umma.
Huo ndiyo ujumbe uliosomeka kwa Diva ingawa bado hajaweka wazi jimbo atakalogombea,Kama atafanikiwa kuingia bungeni Diva atakua kwenye list ya miongoni mwa watangazaji na vijana walioingia kwenye siasa wakiwa na umri mdogo.
Hii ndiyo kufuru za Kanye West kuanzisha Dini yake hii hapa?Nakujiita mungu
Attention! Dini mpya kabisa duniani inaitwa Yeezianity . Jina hili linafanana na album mpya ya kanye inayoitwa Yeezus ambayo ni combination ya nickname yake ya Ye na jina la Jesus. Tayari kuna website kwa ajili ya waumini inayoitwa Yeezanity.com . Wafuasi wa dini hiyo wanatumia sanamu linalofanana kabisa na uso wa Kanye West. Founder wa dini hii alisema ““Kanye West is the most honest person in our culture.He has the highest moral standards and highest integrity. He is the most creative person. And as it’s typical with creative people, he gets a lot of flack from the lower minded masses. It’s not even that they don’t like him, it’s that they don’t know what he’s doing because the press gives it this negative spin all the time”
Ukitaka kujiunga na dini hiini rahisi sana.Unachotakiwa kufanya ni kuwatumia email yenye picha isiyokutambulisha ukiwa umeshika karatasi lililoandikwa ‘I Believe In Yeezus’.
source:habari kwanza
JIKONI NA LEGENDS,PROF JAY&P-FUNK
Ninapopata
Bahati ya kufanya Nyimbo na
wakubwa zangu ambao nilikuwa nikiwaskia
tangu
nawaza Nitoke vipi, hadi leo kupata Fursa
kushiriki nao... Hunipa
Faraja sana na
moyo wa kujituma zaidi....Get ready Kwa
hii kitu #KipiSijasikia??? @professourjaytz ft @Diamondplatnumz ...
HII KESI BADO INAENDELEA:Mahakama ya ilichokisema kuhusu Rufaa ya daktari wa MICHAEL JACKSON
mahakama ya Rufaa ya California tu rasmi na milele kufunga chini ubishi Conrad Murray ya ... Michael Jackson kujiuwa mwenyewe kwa nafsi bali alichomwa sindano na dozi kubwa yaPropofol.
Murray alikata rufani, manslaughter imani yake kwa kuzama jikoni ya hoja, ikiwa ni pamoja na MJ ajali mwenyewe. Mahakama ya Rufaa California imetawala ... maneno ya Murray ni - nadharia tu. Mahakama iliendelea kusema ushahidi ilikuwa mwingi ... aliyoyafanya tendo hilo.
Majaji walibainisha ... Alama za vidole za Murray zote zilikuwa juu ya chupa ya Propofol na walisema kuwa alitenda kama mtu na kujidai hana hatia wakati polisi walipowasili .Wao pia alizungumzia zaidi hali ilivyo katika juu ya Murray kusafisha eneo baada ya ukweli.
Hata kama Murray htashinda hukumu yake ... rufaa ilikuwa muhimu. Kama yeye atashinda inaweza kuwa ahueni kwake lkwakuwa atarejeshewa leseni yake ya matibabu.
PICHA:HUYU NDO MTU ANAYESHIKILIA REKODI YA KUTOKUOGA KWA ZAIDI YA MIAKA 60.
To relax he likes to sit down and have a smoke, from a pipe packed with animal faeces. Mr Haji says he chose this way of life after going through some emotional setbacks in his youth and since then - perhaps unsurprisingly - he has become a bit isolated.
His home is in Dejgah village in the southern province of Fars in Iran where, once, a group of young men offered to give him a shower - but luckily he managed to escape.
At night he either sleeps in a hole in the ground, which is quite like a grave, or in an open brick shack which concerned locals built for him. Continue...
But don't think Mr Haji doesn't look after himself - when he wants to look his best he uses car mirrors for grooming, The Tehran Times reported.
And, when he needs a haircut, he simply burns his locks in a fire.
As for clothing, he wears rags and, in the winter, a war helmet to ward off the cold .
The last record of longest time going without showers belonged to a 66-year-old Indian man, Kailash Singh, who had not taken a bath over 38 years.
Mr Haji claims to have beaten that.
Culled from Daily Mail UK
As for clothing, he wears rags and, in the winter, a war helmet to ward off the cold .
The last record of longest time going without showers belonged to a 66-year-old Indian man, Kailash Singh, who had not taken a bath over 38 years.
Mr Haji claims to have beaten that.
Culled from Daily Mail UK
Kuhusu Adam Mchomvu,Diva na B 12 Kupigwa Chini pale Cloudsm,Hii ndio Dondoo Ya Kwanza
Stori: MUSA MATEJA
WATANGAZAJI maarufu Bongo wa Redio Clouds Fm ya jijini Dar es Salaam, Hamis Mandi ‘B 12’, Adam Mchomvu na Loveness Malinzi ‘Diva’, wamepigwa chini na kituo hicho, Risasi Mchanganyiko linakupa zaidi
Habari za chini kwa chini kutoka kwa chanzo chetu zinasema kuwa uongozi wa Clouds umefikia hatua hiyo baada ya kuchoshwa na tabia ya utovu wa nidhamu wa watangazaji hao.
Hata hivyo, madai ya mitaani yanasema kwamba watangazaji hao wamepigwa chini kwa kosa la kukacha sherehe za maadhimisho ya miaka 14 ya Clouds FM,yaliyofanyika hivi karibuni katika Viwanja vya Mwembeyanga, Temeke, Dar.
Risasi Mchanganyiko lilimvutia waya Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba na kumwuliza juu ya ishu hiyo ambapo alikiri.
“Ni kweli tumefikia uamuzi wa kuwasimamisha B 12, Diva na Mchomvu baada ya kukiuka baadhi ya makubaliano baina yao na ofisi hivyo kusababisha usumbufu mkubwa ambao ulitulazimu kuingia gharama ambazo hazikutarajiwa.
“Hatutakuwa nao kwa muda usiojulikana ingawa watu wengi wamekuwa wakinihoji juu ya hilo lakini watachotakiwa kuelewa ni kwamba hakuna ofisi isiyokuwa na sheria na taratibu za kuongoza watu wake, sasa hao wamevunja taratibu zetu,” alisema Ruge bila kufafanua zaidi.
Alipoulizwa ni taratibu zipi watangazaji hao walizovunja alisema: “Nashindwa kueleza kosa la kila mmoja ila naomba nieleweke kuwa hao watangazaji kwa sasa tumewasimamisha kwa muda usiojulikana wakati tukifikiria cha kufanya. Muhimu hapo ni kwamba wamekwenda kinyume na tulivyokubaliana.”
source:habari kwanza,gpl
WATANGAZAJI maarufu Bongo wa Redio Clouds Fm ya jijini Dar es Salaam, Hamis Mandi ‘B 12’, Adam Mchomvu na Loveness Malinzi ‘Diva’, wamepigwa chini na kituo hicho, Risasi Mchanganyiko linakupa zaidi
Habari za chini kwa chini kutoka kwa chanzo chetu zinasema kuwa uongozi wa Clouds umefikia hatua hiyo baada ya kuchoshwa na tabia ya utovu wa nidhamu wa watangazaji hao.
Hata hivyo, madai ya mitaani yanasema kwamba watangazaji hao wamepigwa chini kwa kosa la kukacha sherehe za maadhimisho ya miaka 14 ya Clouds FM,yaliyofanyika hivi karibuni katika Viwanja vya Mwembeyanga, Temeke, Dar.
Risasi Mchanganyiko lilimvutia waya Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba na kumwuliza juu ya ishu hiyo ambapo alikiri.
“Ni kweli tumefikia uamuzi wa kuwasimamisha B 12, Diva na Mchomvu baada ya kukiuka baadhi ya makubaliano baina yao na ofisi hivyo kusababisha usumbufu mkubwa ambao ulitulazimu kuingia gharama ambazo hazikutarajiwa.
“Hatutakuwa nao kwa muda usiojulikana ingawa watu wengi wamekuwa wakinihoji juu ya hilo lakini watachotakiwa kuelewa ni kwamba hakuna ofisi isiyokuwa na sheria na taratibu za kuongoza watu wake, sasa hao wamevunja taratibu zetu,” alisema Ruge bila kufafanua zaidi.
Alipoulizwa ni taratibu zipi watangazaji hao walizovunja alisema: “Nashindwa kueleza kosa la kila mmoja ila naomba nieleweke kuwa hao watangazaji kwa sasa tumewasimamisha kwa muda usiojulikana wakati tukifikiria cha kufanya. Muhimu hapo ni kwamba wamekwenda kinyume na tulivyokubaliana.”
source:habari kwanza,gpl
(Picha) Ally Kiba amuonesha mpenzi wake, ni mrembo haswaaa..
Ally Kiba anaweza kuwa hasikiki sana kwenye redio miaka ya hivi karibuni na humsikii
akilalamika. Huenda mrembo huyu anaweza kuwa sehemu muhimu katika moyo wake na hivyo
kumfanya azisahau stress za mainstream (kwa sauti ya Godzilla aka Zizi)
Mkali huyo ambaye hivi karibuni alikuwa Nairobi kurekodi collabo yake na Redsan,
amepost picha kwenye Instagram akiwa na mrembo ambaye hakuna shaka kuwa ni ubavu wake
wa pili. Mmmh.. yummy!!
Picha: Profesa J+Diamond +P-Funk =? Watatu hao waingia studio kuandaa msosi mtamu
Unapata picha gani pale the heavyweight MC anapokutana na ‘the Bongo Flava Prince’
kwenye wimbo uliotayarishwa na ‘Godfather wa Bongo Flava’.. Kwa wengi mchanganyiko
huo unatoa mnuso mzuri wa hit ya mwaka.
Basi ndicho kilichofanyika, Profesa Jay amemshirikisha Diamond Platnumz kwenye wimbo
wake mpya unaotayarishwa na producer wa Bongo Records, P-Funk Majani.
Wimbo huu utakuwa wa kihistoria hasa kwakuwa ni kazi iliyowakutanisha Profesa na P-Funk
baada ya miaka mingi ya kutofanya kazi pamoja. Majani anabeba sifa zote za kumtengeneza
Profesa Jay huyu ambaye kwa wengi anapewa heshima ya kuwa rapper anayeheshimika zaidi
kwenye historia ya muziki wa Bongo Flava.
Majani ndiye aliyekuwa kichwa nyuma ya hit za Jay zikiwemo Jina Langu, Ndio Mzee,
Zali la Mentali, Nikusaidieje na zingine kibao kwenye album ya mwaka 2001, Machozi,
Jasho na Damu. Sina shaka kuwa ujio wao mpya utakuwa wa kishindo.
Sababu ya pili kubwa ya kwanini collabo hii itakuwa ya mwaka, ni uwepo wa Diamond
Platnumz ambaye yupo katika kilele cha mafanikio huku akiwa amejikusanyia mashabiki
wengi kwenye ukanda wa Afrika Mashariki na sasa hadi nchi zingine nyingi za Afrika
kutokana na collabo yake na Davido wa Nigeria.
Profesa Jay ambaye jina lake halisi ni Joseph Haule amepost picha kwenye Instagram
akiwa na wawili hao kwenye studio mpya za Bongo Records na kuandika: Studio session
at Bongo Records with the Super dupa producer P – Funk and Diamond Platnumz
himself COOKING for all yall!! Stay Tuned.”
We can’t wait..
CRISTIANO RONALDO!,RONALDO NDIYE MSHINDI WA TUZO YA BALLON D'OR
Na mshindi ni …. Cristiano Ronaldo. Usiku wa leo jijini Zurich, FIFA itamtangaza nyota huyo raia wa Ureno kuwa mwanasoka bora wa dunia kwa mwaka 2013 ambayo itakuwa tuzo yake ya pili.
Cristiano Ronaldo amepata kura nyingi zaidi ya wapinzani wake Franck Ribéry na Leo Messi, kwa kushinda tuzo hiyo Ronaldo atakuwa ameusitisha ufalme wa Messi aliyekuwa ameishinda tuzo hiyo kwa miaka 4 mfululizo.
Chachu ya ushindi huo wa Ronaldo ni mabao 69 aliyofunga mwaka 2013, ikiwa ni pamoja na kuumaliza mwaka vizuri.
Ronaldo mwenyewe anajua kuwa ni mshindi tangu juma lililopita baada ya kudhibitisha kushiriki kwenye sherehe za tuzo hizo, pamoja na kushiriki Ronaldo amewapa mialika ndugu na rafiki zake wa karibu,mpenzi wake mwanamitindo Irina Shayak wakala wake Jorge Mendes.
Pia wapo viongozi mbali mbali wa Real Madrid akiwepo raisi Florentino Pérez, Emilio Butragueño, Zinedine Zidane na Sergio Ramos, ambaye atatangazwa kuwa beki bora wa kati sambamba na Mbrazil Thiago Silva.
Mambo 25 usiyoyajua kuhusu Nicki Minaj
April 25, Nicki Minaj ataonekana kwenye filamu yake ya kwanza, The Other Woman akiwa
na Cameron Diaz.Rapper huyo mwenye miaka 31, amefunguka kupitia mtandao wa Us Weekly
mambo 25 usiyoyajua kumhusu.
1. I hate getting my nails done.
2. I can spend hours glued to Investigation Discovery. It;s my favorite network.
3. I think Martin Lawrence is a genius.
4. Im obsessed with Rice Krispies Treats.
5. For one month straight, I watched The Devil Wears Prada until I fell asleep every night.
6. I enjoy doing laundry.
7. I;m a homebody.
8. I've had the same group of girlfriends for as long as I can remember.
9. I'm always cold.
10. Some of my favorite labels are Giuseppe Zanotti, Roberto Cavalli, Chanel and Versace.
11. My pet peeve is when people spend lots of money just to impress others.
12. My father taught me how to make curry chicken.
13. I'm the best cook on the planet.
14. I'm now listening to beats for my third album.
15. My brothers are my world.
16. I can't stand going to meetings or talking on the phone.
17. I also hate texting and having to return emails.
18. I collect paintings of Marilyn Monroe.
19. I've always loved acting.
20. My first movie, The Other Woman, comes out next year.
21. I just may have a song on the soundtrack!
22. My go-to snack is strawberry-banana yogurt.
23. I bought some really sexy lingerie the other day.
24. My fans inspire me.
25. I plan to write a book about my life someday!
Photos from Beyonce's mother's 60th birthday party
Tina Knowles and her boyfriend arriving at the party |
Monica and her husband with Jay Z |
Subscribe to:
Posts (Atom)
Popular Posts
- PICHA 8: MJI WA PONGWE CITY TANGA UTAKAVYOKUWA NI NOMAA
- MITINDO YA NYWELE KWA AKINA DADA AMAIZING!!!!!!!!!!!!!!
- Picha 6 za utengenezwaji video mpya ya Ay ‘Asante’
- PICHA ZA VIDEO MPYA YA LINEX FT DIAMOND LOCATION
- MITINDO MBALIMBALI YA KUSUKA KWA WATOTO WA KIKE
- PICHA:hivi ndivyo viwanja kumi na mbili vya kombe la dunia 2014 Brazil
- picha: Iyanya na manager wake kwenye private jet "siku moja wasanii wa bongo nao wafikie hapa walipofikia wanaigeria"
- Picha 6 za H.baba akiwa kwenye kaburi la Cool James ‘Mtoto wa Dandu’
- Picha 17 za Diamond hapa South Africa jinsi ilivyokua akirekodi kolabo na Mafikizolo
- ++++++++EXCLUSIVE+++++++++Picha za 8 Blue Ivy mtoto wa Jay z ambaye anamiaka 2 sasa akiwa na baba yake
Total Pageviews
Blogger news
NANI MSANII KATI YA HAWA NDO MSANII MKALI TANZANIA KWA SASA
Translate
Blog Archive
-
►
2015
(43)
- ► 06/14 - 06/21 (1)
- ► 04/26 - 05/03 (1)
- ► 02/08 - 02/15 (8)
- ► 02/01 - 02/08 (8)
- ► 01/25 - 02/01 (12)
- ► 01/18 - 01/25 (2)
- ► 01/11 - 01/18 (8)
- ► 01/04 - 01/11 (3)
-
▼
2014
(369)
- ► 12/28 - 01/04 (3)
- ► 12/21 - 12/28 (1)
- ► 11/16 - 11/23 (2)
- ► 09/07 - 09/14 (5)
- ► 08/10 - 08/17 (3)
- ► 07/20 - 07/27 (1)
- ► 07/06 - 07/13 (2)
- ► 06/22 - 06/29 (4)
- ► 06/15 - 06/22 (2)
- ► 06/08 - 06/15 (16)
- ► 06/01 - 06/08 (18)
- ► 05/25 - 06/01 (25)
- ► 05/18 - 05/25 (15)
- ► 05/11 - 05/18 (10)
- ► 05/04 - 05/11 (20)
- ► 04/27 - 05/04 (11)
- ► 04/20 - 04/27 (1)
- ► 04/06 - 04/13 (2)
- ► 03/30 - 04/06 (3)
- ► 03/23 - 03/30 (2)
- ► 03/02 - 03/09 (14)
- ► 02/23 - 03/02 (28)
- ► 02/16 - 02/23 (9)
- ► 02/09 - 02/16 (33)
- ► 02/02 - 02/09 (35)
- ► 01/26 - 02/02 (29)
- ► 01/19 - 01/26 (44)
-
▼
01/12 - 01/19
(16)
- picha: pata fursa yakumwona mtoto wa Kanye Wes...
- Kutoka kwa Diva na Adam Mchomvu baada ya h...
- SHABANI KADO YUPO BIZE NA MAZOEZI NCHINI OMAN. ...
- Huyu ndiye mtangazaji mwingine anayetegeme...
- Hii ndiyo kufuru za Kanye West kuanzisha Dini y...
- Picha,Diamond Platnuma na Huu Mkoko Mpya wa Kishu...
- picha:mchumba wa Paul Okoye wa psquare pamoja na ...
- JIKONI NA LEGENDS,PROF JAY&P-FUNK Ninapo...
- HII KESI BADO INAENDELEA:Mahakama ya ilichokisema...
- PICHA:HUYU NDO MTU ANAYESHIKILIA REKODI YA KUTOKU...
- Kuhusu Adam Mchomvu,Diva na B 12 Kupigwa Chini pa...
- (Picha) Ally Kiba amuonesha mpenzi wake, ni mremb...
- Picha: Profesa J+Diamond +P-Funk =? Watatu hao w...
- CRISTIANO RONALDO!,RONALDO NDIYE MSHINDI WA TUZO...
- Mambo 25 usiyoyajua kuhusu Nicki Minaj April 2...
- Photos from Beyonce's mother's 60th birthday part...
- ► 01/05 - 01/12 (15)
-
►
2013
(116)
- ► 12/29 - 01/05 (5)
- ► 12/22 - 12/29 (9)
- ► 12/15 - 12/22 (20)
- ► 12/08 - 12/15 (45)
- ► 12/01 - 12/08 (25)
- ► 11/24 - 12/01 (11)
- ► 11/17 - 11/24 (1)
0 comments: