picha: Iyanya na manager wake kwenye private jet "siku moja wasanii wa bongo nao wafikie hapa walipofikia wanaigeria"

Iyanya and his manager Ubi Franklin flew a private jet to a 'private location' and shared pictures on social media. See more photos after the cut

0 comments:

MATOKEO YA MICHEZO YA KUFUZU AFCON 2015.CAMEROON YAIDHALILISHA IVORY COAST YA YAYA TOURE

http://level3.soccerladuma.net/cms2/image_manager/uploads/News/160721/7/default.jpgcafmisimamo

0 comments:

PICHA: MUONEKANO WA SASA WA UWANJA WA SIMBA SC MAENEO YA BUNJU JIJINI DAR

10565204_713757485357559_2966525263168566247_nKATIKA historia yake, klabu ya Simba haijawahi kuwa na uwanja wake wa mazoezi, hivyo kujikuta wakihangaika miaka nenda rudi.  Lakini kwasasa unaweza kusema imedhamiria kujenga uwanja wa mazoezi maeneo ya Bunju jijini Dar es salaam.  Ismail Aden Rage alipokaribia kumaliza muda wake alianza mchakato wa kujenga uwanja wa Bunju akisema wanataka kupata sehemu ya kufanyia mazoezi.  Pia alisema wanakusudia kujenga hosteli za kuishi wachezaji ikiwa ni mkakati wa kupunguza gharama ya kuweka wachezaji hotelini wakati wa kambi.  Uongozi mpya chini ya Rais Evans Elieza Aveva alisema uko tayari kuendeleza ujenzi huo ulioanzishwa na Rage.  Mpaka sasa nyasi zilishapandwa na muonekano wa uwanja uko kama unavyoonekana pichani juu
KATIKA historia yake, klabu ya Simba haijawahi kuwa na uwanja wake wa mazoezi, hivyo kujikuta wakihangaika miaka nenda rudi.
Lakini kwasasa unaweza kusema imedhamiria kujenga uwanja wa mazoezi maeneo ya Bunju jijini Dar es salaam.
Ismail Aden Rage alipokaribia kumaliza muda wake alianza mchakato wa kujenga uwanja wa Bunju akisema wanataka kupata sehemu ya kufanyia mazoezi.
Pia alisema wanakusudia kujenga hosteli za kuishi wachezaji ikiwa ni mkakati wa kupunguza gharama ya kuweka wachezaji hotelini wakati wa kambi.
Uongozi mpya chini ya Rais Evans Elieza Aveva alisema uko tayari kuendeleza ujenzi huo ulioanzishwa na Rage.
Mpaka sasa nyasi zilishapandwa na muonekano wa uwanja uko kama unavyoonekana pichani juu
- See more at: http://shaffihdauda.com/?p=4230#sthash.DsnQWlZb.dpuf

PICHA: MUONEKANO WA SASA WA UWANJA WA SIMBA SC MAENEO YA BUNJU JIJINI DAR Kitaifa

10565204_713757485357559_2966525263168566247_n
KATIKA historia yake, klabu ya Simba haijawahi kuwa na uwanja wake wa mazoezi, hivyo kujikuta wakihangaika miaka nenda rudi.
Lakini kwasasa unaweza kusema imedhamiria kujenga uwanja wa mazoezi maeneo ya Bunju jijini Dar es salaam.
Ismail Aden Rage alipokaribia kumaliza muda wake alianza mchakato wa kujenga uwanja wa Bunju akisema wanataka kupata sehemu ya kufanyia mazoezi.
Pia alisema wanakusudia kujenga hosteli za kuishi wachezaji ikiwa ni mkakati wa kupunguza gharama ya kuweka wachezaji hotelini wakati wa kambi.
Uongozi mpya chini ya Rais Evans Elieza Aveva alisema uko tayari kuendeleza ujenzi huo ulioanzishwa na Rage.
Mpaka sasa nyasi zilishapandwa na muonekano wa uwanja uko kama unavyoonekana pichani juu.
- See more at: http://shaffihdauda.com/?p=4230#sthash.DsnQWlZb.dpuf

0 comments:

++++BREAKING NEWZ++++++++kama ww ni shabiki wa yanga hii inakuhusu

????????
Hii ndio taarifa iliyochapishwa dakika chache zilizopita katika ukurasa rasmi wa Yanga katika mtandao wa kijamii wa Facebook.   KUMRADHI: Wapenzi, wanachama, washabiki na wadau wa soka kwa ujumla, Mechi kati ya Young Africans dhidi ya Big Bullets iliyokua ifanyike leo haitakuwepo. Kwa mujibu wa waandaji wa mchezo huo DRFA timu ya Big Bullets imeshindwa kuwasili nchini, na jitihada za kupata timu nyingine imeshindikana.  Tunawaomba radhi kwa usumbufu wote ambao umejitokeza.  Daima Mbele Nyuma Mwiko  
See more at: http://shaffihdauda.com/?p=5942#sthash.1WSsM1v2.dpuf
Hii ndio taarifa iliyochapishwa dakika chache zilizopita katika ukurasa rasmi wa Yanga katika mtandao wa kijamii wa Facebook.
 
KUMRADHI:
Wapenzi, wanachama, washabiki na wadau wa soka kwa ujumla,
Mechi kati ya Young Africans dhidi ya Big Bullets iliyokua ifanyike leo haitakuwepo.
Kwa mujibu wa waandaji wa mchezo huo DRFA timu ya Big Bullets imeshindwa kuwasili nchini, na jitihada za kupata timu nyingine imeshindikana.
Tunawaomba radhi kwa usumbufu wote ambao umejitokeza.
Daima Mbele Nyuma Mwiko
- See more at: http://shaffihdauda.com/?p=5942#sthash.1WSsM1v2.dpuf

BREAKING NEWZZZ! MECHI YA YANGA SC VS BIG BULLETS HAIPO, WAMALAWI HAWAJAWASILI CHINI! Kitaifa

NEY wa mitego afunguka kisa cha plate ya namba 966

Nay wa mitego 
Kama wewe ni msikilizaji wa nyimbo za mkali wa bongofleva Nay wa Mitego nina uhakika utakua umeisikia sana namba 966 ambayo huitaja sana kwenye mashairi yake lakini mpaka sasa hajawahi kusema ina maana gani.
Kwenye exclusive na millardayo.com juzi Nay alisema kuna siku tu atakuja kueleza maana ya hii namba pamoja na baadhi ya alama ambazo amekua akizitumia kwenye picha zake za video ambazo zimesababisha Mama yake mzazi kumuita na kutaka amweleze zina maana gani manake amekua akisikia watu wengi wakimwambia kuhusu mwanae.
Screen Shot 2014-09-06 at 9.46.47 PM 
Pamoja na kwamba wengi walianza kuzihusisha hizi alama na hii namba imani ya kuabudu Miungu, Nay amesema hayuko kwenye dhehebu lolote ambalo linaabudu Miungu, watu wavute subira iko siku atasema kila kitu ikiwemo mipango yake na hii namba ambayo inaonekana ameiandalia kitu kikubwa mpaka kulichukulia gari lake jipya.
Hii namba unayoiona hapa kwenye picha ya kwanza haijamuangukia bahati mbaya bali alifanya namna mpaka akaipata wakati wa kwenda kusajili gari lake kwenye mamlaka ya mapato Tanzania (TRA)
Screen Shot 2014-09-06 at 9.46.55 PM 
source:millard ayo.com

0 comments: