hivi ndivyo producer Lucci alivyouaga ukapela


1 
Producer Lucci wa studio za Transformax ameuaga rasmi ukapela baada ya kufunga ndoa na mchumba wake Lisa Tsere. Lucci alimvisha pete na baadae walipata mtoto wa kiume, hivi sasa ni mume na mke wa halali kutoka kanisani.
2
3

4
source:milard ayo

0 comments:

picha :washiriki watuzo za MAMA walivyowasili South Africa

Superstar artistes and nominees landed in Durban, South Africa this morning to be a part of the fourth edition of the MTV Africa Music Awards. 


International artistes and MAMA performers, Miguel, Trey Songz, French Montana and beau, Khloe Kardashian and Marlon Wayans were also spotted at the airport.

Nigerian nominees including Don Jazzy, Davido, Flavour, Tiwa Savage, Dr Sid, Phyno, Clarence Peters also arrived in the early hours of today.


The talents were welcomed by traditional dancers from Kwazulu Natal Province and later attended the MAMA press conference which held this evening. MAMA 2014 will hold tomorrow, June 7, 2014 at the ICC Centre in Durban, SA. Trey Songz pictured above. Continue to see more photos...

0 comments:

huyu ndiye staa wa ujerumani mwenye hatihati yakutoshiriki kombe la dunia baada ya mechi ya jana

Down and out: Germany midfielder Marco Reus holds his left ankle in pain after injuring himself against Armenia
Hoi : Kiungo wa Ujerumani,  Marco Reus akiwa ameshika kifundo chake cha mguu wa kushoto baada ya kuumia katika mchezo dhidi ya Armenia
Ouch: Reus grimaces as he is helped to his feet by medical staff late in the first half
 Reus akitibiwa na madaktariwa timu ya taifa ya Ujerumani.
Expert care: Reus is taken off the pitch after receiving treatment from Germany's medical staff
 Reus akitolewa uwanjani kwa matibabu zaidi. 
 PIGO!,  Marco Reus hatihati kucheza fainali za kombe la dunia baada ya jana kupata majeruhi ya kifundo cha mguu katika ushindi wa mabao 6-1 ambao Ujerumani ilivuna dhidi ya Armenia ikiwa ni pasha pasha kabla ya kuanza  kombe la dunia wiki ijayo.
Nyota huyo Borussia Dortmund alianguka chini baada ya kugongana na kiungo wa Armenia, Artur Yedigaryan na kuambulia kuumia na kuzua hofu kubwa kwa mashabiki wa Ujerumani na benchi zima la ufundi.
Reus aliachwa amelala chini kwa maumivu makali na kupatiwa matibabu uwanjani kabla ya kutolewa katika mchezo huo kabla ya muda wa mapumziko.
Nyota huyo mwenye miaka 25 aliripotiwa kushindwa hata kuvaa kiatu katika mguu wake wa kushoto na imeelezwa kuwa alipelekwa moja kwa moja hospitali kwa ajili ya uchunguzi wa kina.
 
Joachim Low anajiandaa kucheza na Ureno juni 16 katika mechi ya ufunguzi, na inawezekana Reus akazikosa fainali za kombe la dunia mwaka huu nchini Brazil.
Akizungumza baada ya mechi, Low alisema: “Tuna matarajio kuwa atapona. Lakini inaonekana kuwa mbaya sana. Tunaweza kumuita mchezaji mwingine saa 24 kabla ya mchezo wa kwanza”.

0 comments:

Cheki picha 15 za party ya Chris Brown akisherekea kutoka jela

1
Chris Brown ametoka jela na kuungana na watu wake wa karibu wakiwemo mama yake na girlfriend wake. Hizi ni picha za kwanza kabisa kumuonyesha Chris Brown tangu atoke jela.
Ukiangalia kwa makini picha hizi utagundua kwamba Chris Brown amenenepa tofauti na vile alivyokuwa aningia gerezani. Party hiyo ilijumuisha sherehe ya birthday yake iliyopita. Watu waliokuwepo kwenye hiyo party ni T Pain,Tyga,Big Seam na marafiki wa karibu pamoja na familia.
3
2
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14

0 comments:

Mmiliki wa nyimbo za Bob Marley aamuliwa


https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhLwSAYm5thPBiLnmLgBktt3BAMB1N_kvLjUTHLCOs792wwzWGRRYgarvl5OXBiDOLxCug25HaM71w61VWuzUOCu43cy4_Z_hTLD51GeRkqk2cbyXQ9U4arWFzP3D84GyjrV7VkABKhnBU/s1600/bob-marley-quotes-wallpaper.jpg
Bob Marley
Mzozo wa kisheria juu ya nani anayemiliki baadhi ya nyimbo maarufu za reggae duniani umemalizika mjini London.
Nyimbo hizo zilizotungwa na kuimbwa na msanii Bob Marley zimekuwa ziking'ang'aniwa na kampuni 2 pinzani juu ya umiliki wao.
Jaji katika mahakama kuu, Richard Meade alikata kesi ambapo kampuni ya Cayman Music ilikuwa inadai kumiliki nyimbo 13, miongoni mwao wimbo uliopata umaarufu 'No Woman, No Cry' kuwa haina haki nazo tena.
Kampuni hiyo ilikuwa imedai kuwa nyimbo hizo hazikujumuishwa walipouza baadhi ya haki zake kwa kampuni nyingine mnamo mwaka wa 1992.
Kampuni ya Cayman imesema kuwa Bob Marley aliandika nyimbo hizo chini ya majina tofauti, lakini Jaji ameamua kuwa bado kandarasi waliouzia inafunika nyimbo zote hizo.
Bob Marley alifariki mwaka wa 1981 baada ya kuugua maradhi ya saratani kwa muda.

0 comments:

hili ndilo angalizo kutoka Instagram (kama ni mtumiaji wa instagram)


Kevin Systrom afisaa mkuu mtendaji wa Instagram
Mmoja wa waasisi wa mtandao wa kijamii wa Instagram, ameambia BBC kuwa sheria zake kuhusu picha za uchi hazimbagui mtu yeyote.
Kampuni hiyo imekosolewa vikali kwa kwa kuondoa picha za wanawake walio nusu uchi kwenye mtandao huo.
Lakini Afisaa mkuu mtendaji wa mtandao huo wa kijamii, Kevin Systrom, amesema kuwa sheria hizo zinalenga kuhakikisha kuwa vijana na watu wazima wanaotumia mtandao huo wako salama.
Masharti ya matumizi ya mtandao wenyewe, yanasema: 'Mtu haruhusiwi kuweka picha za watu walio nusu uchi na picha zenye mada ya ngono. ''
Matamshi yake yanakuja baada ya mwanawe muigizaji maarufu, Bruce Willis, Scout Willis kuweka picha yake kwenye mtandao huo akiwa nusu uchi bila kitu kifuani.
Picha hiyo iliondolewa kwenye mtandao huo na wamiliki wa mtandao na hapo ndipo malalamiko yalianza kuibuka.
Muimbaji Rihanna, ambaye alikuwa na wafuasi milioni 1.3 aliunga mkono kampeini hiyo kabla ya kufunga akaunti yake.
Wamiliki wa mtandao huo wanasema sheria zinapaswa kufuatwa na kila mtu awe mtu mashuhuri au vinginevyo.
"lengo letu ni kuhakikisha kuwa Instagram, ni mahala salama kwa kila mtu , awe maarufu au la. ''
"tunapaswa kuwa na sheria na kuhakikisha kuwa kila mtu anafuata sheria hizo. Bila shaka tunapata changamoto nyingi lakini tutnaedneklea kusisitiza umuhimu wa sheria kufuatwa, '' alisema Systrom
Huku umaarufu wa mtandao huo ukiendelea kuimarika, mtandao huo umekosolewa kuhusiana na baadhi ya picha zinazochapishwa humo . Pia mtandao wenye umebana baadhi ya maneno yanayohusiana na madawa ya kulevya.
Instagram ilinunuliwa na Facebook mwaka 2012.

0 comments:

VISIT TANZANIA

mount kilimanjaro the highest mountain in Africa found in Northern part of Tanzania
http://davidmixner.typepad.com/.a/6a00d8341c90b153ef01901e28ff06970b-500wi 
Ngorongorolodge1. For those who visit Tanzania and don't visit Ngorongoro Crater are missing one of the great wonders of Africa. The deep and massive crater 
 
Picture of Wild elephant in the african savanna, Ngorongoro park, Tanzania
 
Ngorongoro Crater!
View of Ngorongoro from Inside the Crater. Photo credit. ngorongoro-2. The lake inside Ngorongoro crater. Photo credit
http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2014/03/26/article-2590028-1C9525F700000578-889_964x604.jpgNgorongoro Crater, Tanzania: At 610m deep and 260sq-km, this is the largest unflooded caldera in the world. A blue-green vision from above, it's a haven
http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2013/12/22/article-2527989-1A40670400000578-64_638x405.jpg
King of the twerk: A Lion in the Ndutu area between Serengeti and Ngorongoro, Tanzania stretches    
 
Flying Medical Service, old days pictures
 
The masai boma or hunts in Ngorongoro conservation area, Tanzania, Africa
  
Picture. The Lodge is conveniently located just 8 kms to Ngorongoro lodoare gate, and 70 kms to Lake Eyasi where the only minority tribe group of hadzabe
5/19 Bar; Ngorongoro Wildlife Lodge
A Day at Ngorongoro Crater Lodge. The staff at &Beyond Nogorongoro Crater Lodge look forward to filling your days with delicious food and activities.
    
 

0 comments:

namna ambavyo Mh Rais Kikwete na Diamond Platnumz walivyokutana Marekani.


Screen Shot 2014-06-03 at 11.31.15 PM 
Siku mbili zilizopita ndio picha ya kwanza ya Diamond alipokutana na Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete ilitoka, walikutana New York na haikujulikana kama kuna kolabo inanukia.
Ilipoanza kolabo ya kimataifa ya wimbo aliofanya na Davido headlines za Diamond zilizidi uzito Afrika lakini kama hii inayoshughulikiwa itafanikiwa basi headlines zake ndio zitakua nzito kuliko.
Sasa kolabo inayonukia sasa hivi ni ya staa wa muziki kutoka Marekani ambae ni Trey Songz ambae taarifa za ndani millardayo.com ilizopata ni kwamba kama kolabo hii ikifanikiwa basi Rais Kikwete atakua ameshiriki kuiunganisha kwa asilimia zaidi ya 90.
Kwenye hii picha President ameonekana akiwa karibu sana na meneja wa Trey Songz na waliongea kwa kirefu, kwa sababu President siku zote anasupport sana Wasanii wake wa Tanzania.
Baada ya Diamond kukutana na Rais kwenye hicho kikao na meneja wa Trey Songz, Diamond alitumia time yake kuandika ya moyoni >>> wapi Utapata Rais ambaye atakubali kutoa muda wake wa thamani ambao unatafutwa karibu na kila mtu Duniani.. akautumia kukusaidia kukukutanisha na kukuconnect na mdau mkubwa duniani katika tasnia uliyopo ili kuhakikisha tu unafikia malengo na ndoto ya kazi zako…. Dah! Asante sana Mh Rais, Mwenyez Mungu akuzidishie na kukusimamia katika uongozi wako na siku zote za Maisha yako
source:milard ayo

0 comments: