AFCON MATOKEO YA JANA
mechi ya kwanza ilikuwa kati ya Ghana dhidi ya Algeria,ghana ilishinda bao moja kwa 0 lilofungwa na kapteni wa Asamouh Gian dakika ya 93mech ya pili ilikuwa South Africa dhidi ya Senegal ambapo matokeo yalikuwa sare ya bao moja kwa moja,South Africa walikuwa wa kwanza kufunga bao dakika ya 47 lilofungwa na Oupa Manyisa
Senegal wakasawazisha dakika ya 60 na Serigne Mbodji
MSIMAMO WA HILI KUNDI
1. SENEGAL POINT 4
2. ALGERIA 3
3. GHANA 3
4. SOUTH AFRICA 1
0 comments: