Gari alilopata nalo ajali Director George Tyson na picha za saa 4 kabla ya tukio

Screen Shot 2014-05-31 at 3.46.30 AMDj Choka ambae kwa sehemu kubwa alikua kwenye safari moja ya Dodoma na Marehemu George Tyson, ameandika kwenye http://djchokamusic.com/ kwamba Marehemu alikuwa yupo kijiji cha Chilonwa Chamwino kwenye utoaji wa madawati katika shule ya msingi Chaula iliyopo Dodoma.
Baada ya kumaliza shughuli hii huku akiwa kama producer wa The Mboni Show mauti yalimkuta majira ya saa 12 jioni ikiwa ni saa 4 tu toka tuanze safari ya kurudi Dar es Salaam maeneo fulani hivi kama unataka kukaribia GAIRO mjini.
Kwenye gari walikuwa watu 8 ila yeye pekee ndio aliyepoteza maisha ila wengine wamepata majeraha mwilini akiwemo dereva wa gari hilo ambapo kwa sasa mwili wa marehemu umehifadhiwa hapa Morogoro katika hospital ya mkoa Morogoro baadae asubuhi safari ya kurudi Dar es Salaam itaanza.
Screen Shot 2014-05-31 at 3.46.12 AM
Screen Shot 2014-05-31 at 3.46.38 AM
Screen Shot 2014-05-31 at 3.46.50 AM
Kwenye hii safari, George Tyson aliambatana na mtangazaji Mboni Masimba wa The Mboni show.
Screen Shot 2014-05-31 at 3.46.58 AM
Screen Shot 2014-05-31 at 3.47.07 AM

0 comments:

Baada ya Adam Kuambiana na Rachel Haule, bongo movie wamepata huu msiba wa tatu usiku huu


Screen Shot 2014-05-31 at 1.05.02 AMKwenye watu ambao wana mkono mkubwa kwenye filamu Tanzania basi na huyu ni miongoni mwao, amehusika kwenye movie nyingi sana zikiwemo za mke wake ambae ni mwigizaji Monalisa kama ile ya ‘Girlfriend’ aliyocheza na kina GK, T.I.D Ay na wengine miaka hiyo.
Screen Shot 2014-05-31 at 1.02.00 AMKuanzia saa tatu usiku wa May 30 2014 zilianza kusambaa taarifa kwamba Director George Tyson amefariki dunia ila sasa ndio zimethibitika kuwa ni rasmi ambapo Mwigizaji Wema Sepetu na mtangazaji Zamaradi Mketema ni miongoni mwa waliopata uthibitisho.
Wakati millardayo.com inaendelea kufatilia chanzo na mengine kwa ujumla kuhusu hizi taarifa Wema Sepetu ameandika ‘Kwa mara ya tatu bila kupumzika week tunamzika mwenzetu mwingine George Tyson dah.. sina cha kuongea, RIP Brother, Daah sijui Da Mboni wangu ana hali gani aisee…. pole dada akee Mungu akupe nguvu wewe pamoja na team yote ya The Mboni show, pigo kubwa tena kwa wasanii, tunaisha tu jamani.
Screen Shot 2014-05-31 at 1.02.05 AMAlichoandika Mtanagazaji wa Take One ya Clouds TV Zamaradi Mketema.
Screen Shot 2014-05-31 at 1.02.34 AM
Screen Shot 2014-05-31 at 1.02.47 AMKuhusu taratibu za maziko pamoja na taarifa nyingine za ziada utaendelea kuzipata Twitter Instagram facebook
Screen Shot 2014-05-31 at 1.19.07 AM
Marehemu Rachel Haule katikati
Screen Shot 2014-05-31 at 1.17.37 AM
Marehemu Adam Kuambiana

0 comments:

Cristiano Ronaldo na ustaa wake, tazama jinsi alivyowasili kujiunga na timu ya taifa

Screen Shot 2014-05-30 at 12.09.53 PM
Hili ndio gari alilowasili nalo.
Ni jana tu May 29 2014 Cristiano Ronaldo ametajwa kushika namba moja kwenye list ya mastaa kumi wa soka ambao wanavutia kibiashara na kufanya kazi na makampuni makubwa ya kibiashara duniani.
Hii post inahusu kuwasili kwa Ronaldo kwenye hoteli timu yake ya taifa ya Portugal ilikoweka makazi ya muda kujiandaa na kombe la dunia litakaloanza siku chache zijazo nchini Brazil.
Screen Shot 2014-05-30 at 12.46.45 PMKulikua na mashabiki wengi waliokua wakimsubiria wakiwemo kina mama, baba na watoto ambao wengine walijaribu hata kumgusa, wengine kumsemesha na wengine kumpiga picha.
Screen Shot 2014-05-30 at 12.46.37 PM
Screen Shot 2014-05-30 at 12.02.32 PM
Screen Shot 2014-05-30 at 12.46.22 PM
Yaani huyu mtoto hakuamini kamshika Ronaldo…. hahahha hii picha ya huyu mtoto nimeipenda.

0 comments:

una ndoto,unamiliki au una ndugu yako anamiliki gari aina ya Ford hii taarifa inakuhusu


Magari zaidi ya milioni moja yanahitilafu ya usukani
Kampuni kubwa ya kutengeza magari nchini Marekani imeagiza magari milioni 1.4 yarejeshwe kutokana na hitilafu ya usukani.
Takriban magari milioni 1.1 yaliyoundwa kwa mtindo wa kispoti yaliyokuwa yameuzwa Marekani Kaskazini yametakiwa kurejeshwa kwani huenda yana hitilafu kwenye usukani.
Vilevile magari mengine 200,000 yenye muundo wa Taurus yaliyoundwa kati ya mwaka wa 2010 na 2014 huenda yakakumbwa na tatizo ya kushika kutu kwa haraka.
Matukio kama hayo yaliyofanyika majuzi huenda yakaifanya kampuni hiyo kuvunja rekodi ya kutaka magari mengi zaidi yarejeshwe katika kipindi cha mwaka mmoja.
Magari zaidi ya milioni moja yanahitilafu ya usukani
Urejesho huo umetokea wakati sakata ya usalama inawakumba wapinzani wakuu wa kampuni ya hiyo , General Motors (GM).
GM ililaumiwa kwa kutotoa ilani za kiusalama kwamba baadhi ya magari yake hata baada ya kubaini kuwa magari hayo yanazima ghafla.
Dosari hiyo imehusishwa na vifo 13, ingawa wasanifu wa Marekani wanaamini kuwa idadi hiyo itaongezeka.
Pindi tangazo hilo lilipofanywa, kampuni za kutengeneza magari hayo pamoja na wasanifu wa Marekani wameongeza juhudi za kurejesha magari ambayo yanapatikana kuwa na dosari.

0 comments:

hiki ndicho ALICHOKISEMA KITALE KUHUSU MKUDE SIMBA

Mkude Simba ni mmoja tu ukimuona mwingine feki maana WATANZANIA wanapendaga sana kutafuniwa utasikia km sio msanii mwenzangu litatokea lijitu tu.!! ila mungu mmoja na u pamoja nami wakati wa Kitale Anakuja walitokea kina KITALE wng..!!

0 comments:

+++BREAKING NEWZ++++Mchawi mtanzania jela miaka 3 Kenya soma kisa kizima


Vifaa walivyopatikana navyo washukiwa walipokamatwa na polisi
Mchawi kutoka Tanzania amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu nchini Kenya kwa kumlaghai mwanamke mfanyabiashara mkenya na kumuibia shilingi milioni tisa.
Mchawi huyo alimhadaa mama huyo kuwa kwa kupitia njia za kichawi angeweza kuzifanya pesa hizo kuwa maradufu yaani milioni 18.
Bwana Amos Chipeta pia ataongezwa kifungo cha miezi tatu kwa kupatikana na vifaa vinavyoumiwa kufanya uchawi kama vile chupa, visu na ngozi ya Paka.
Kwa mujibu wa mtandao wa Daily Nation, Chipeta alihukumiwa pamoja na mwenzake bwana Peter Christopher aliyepatikana na hirizi zinazotumika kufanyia uchawi.
Bwana Chipeta alimlaghai Bi Catherine Njeri hela zake tarehe tofauti tofauti kati ya mwezi wa Agosti na Decemba 2012 baada ya mwanamke huyo kuwaendea na kumwomba wazifanye pesa hizo ziwe maradufu
Walijitetea kwa kusema kuwa mwanamke huyo aliwaendea ili wampe nguvu za kichawi aweze kuwashinda wapinzani wake wa kisiasa
Maafisa wa polisi walipata hirizi hizo na vifaa walivyotumia kwa uchawi mwezi Februari 1, 2014 katika nyumba ya kukodisha iliyo kando ya barabara ya Juja viungani mwa mji mkuu Nairobi.
Hakimu aliyesikiliza kesi hiyo alisema kuwa wanaume hao waliona mwanamke huyo kuwa mjinga na basi kumnafiki kwa urahisi na kuwa hawana majuto au toba.
source:BBC swahili

0 comments:

huyu ndiye staa wa muvi ya TITANIC alivepigwa na shabiki wake kisa kizima kipo hapa


Vitalii Sediuk aliondolewa katika sehemu hiyo na polisi waliomfunga pingu
Mwanamume mmoja amekamatwa baada ya kumshambulia kwa makonde muigizaji maarufu duniani Brad Pitt usoni mwake katika sherehe ya ufunguzi wa filamu ya Maleficent mjini Los Angeles.
Mwandishi habari wa Ukraine Vitalii Sediuk - anayejulikana kwa kuwahahadaa watu mashuhuri duniani ,aliripotiwa kuonekana akivuka kizuizi na kumkumbatia Brad kabla ya kumpiga usoni.
Kijana huyo mwenye umri wa miaka 25 kwa jina Vitalii Sediuk, alikamatwa na walinzi wa Brad baada ya kupambana naye na kukabidhiwa kwa polisi waliokuwa wanshika doria.
Sediuk aliondolewa na polisi katika tamasha la filamu la Canes wiki jana baada ya kuingia bila idhini
Pitt alikuwa anakutana na mashabiki wake kabla ya kushambuliwa ingawa hakujeruhiwa vibaya.
Inaaminika kuwa Pitt alipigwa usoni ingawa polisi wanachunguza kisa hicho
Pitt na mkewe Angelina Joli ndio waigizaji nyota katika filamu hiyo mpya ya Maleficent ambayo ilikuwa inazinduliwa na kampuni ya Disney.
Msemaji wa kampuni ya Disney iliyotengeza filamu hiyo alisema kuwa walisikitishwa na kitendo hicho na kwamba polisi wanafanya uchunguzi.
Sediuk alizuiliwa na polisi Jumatano usiku akisubiri kuachiliwa kwa dhamana ya dola 20,000.
Polisi walisema kitendo cha kijana huyo kilikuwa cha maksudi ingawa uchunguzi bado utafanywa.


0 comments:

huyu ndiye Minala mchezaji wa Lazio inadaiwa ana miaka 17 sio 42 hebu mcheki halafu toa maoni yako



Lazio; Minala ana miaka 17 sio 42
Uchunguzi wa shirikisho la soka la Italia umebaini kuwa mchezaji tineja wa Cameroun Joseph Minala ana umri wa miaka 17 wala sio 42 kama ilivyodhaniwa na kuripotiwa katika vyombo vya habari.
Mnamo mwezi Februari mtandao mmoja wa michezo barani Afrika ulichapisha habari ambayo ilizua dukuduku iwapo kiungo huyo alikuwa amedanganya umri wake .
Mtandao huo ulichapisha habari za kuashiria kuwa hakuwa tineja bali mtu mwenye umri wa miaka 42.
Lazio; Minala ana miaka 17 sio 42
Uchunguzi uliofwatia ulimlazimu kukatiza kwa muda mipango yake ya kucheza soka ya kulipwa hadi pale matokeo ya uchunguzi yangewekwa wazi na maafisa wa shirikisho la soka la Italia.
Minala alijiunga na klabu hiyo yenye makao yake mjini Rome na hata alishiriki mchuano wa vijana wasiozidi umri wa miaka 23 wa Viareggio mnamo mwezi wa Februari.

0 comments:

achana na Jay z, P didy,50cent,lily Wayne, bird man wanajulikana kwa mkwanja mrefu huyu ndiye msanii pekee wa HIPHOPE bilionea dunia nzima


It's official. Dr Dre is set to become the first billionaire in Hip Hop. Apple Electronics announced today that it has acquired Dr Dre's Beats Electronics for $3billion. According to Forbes, Apple paid $2.6billion cash upfront and gave $400million in stock that will vest over time.

The $3billion purchase price includes Beats Music, the sister company that runs a subscription streaming music service. As part of the deal, Beats co-founders Dr. Dre and Jimmy Iovine will join Apple in undisclosed roles.
"Music is such an important part of all of our lives and holds a special place within our hearts at Apple,” CEO Tim Cook said in a statement released today. “That’s why we have kept investing in music and are bringing together these extraordinary teams so we can continue to create the most innovative music products and services in the world.”
This acquisition is Apple’s biggest and largest acquisition since the inception of the company. Apple made $171 billion revenue last year, while Beats made $2 billion.

0 comments:

huyu ndiye msanii aliyeongoza kwa mauzo Africa kwa mwaka 2014

D''banj won 'Best Selling African Artist' award at the 2014 World Music Awards which took place on Tuesday 27th of May at the Salle des Etoiles in Monte Carlo, Monaco. 
D'banj performed at this event alongside artists such as Miley Cyrus, Mariah Carey, Flo Rider, DJ Khaled, Ricky Martin, Tinie Tempah, Leonah Lewis and more! Congrats to him. See more pics after the cut...

0 comments:

hivi ndivyo Ronaldo alivyomfunika messi kwa mwaka huu kila idara

 http://static3.businessinsider.com/image/524c5baceab8eaf22554fc66/cristiano-ronaldo-rips-the-president-of-fifa-for-mocking-him-in-an-interview.jpg
Cristiano Ronaldo ameendelea kumfunika mpinzani wake Lionel Messi baada ya kumshinda kwenye uchezaji bora wa dunia, ufungaji bora wa La Liga na Champions League, utajiri na sasa kwa mujibu wa taasisi ya uchunguzi na uchambuzi wa masoko ya Repucom, staa huyu wa Real Madrid ndio staa wa soka mwenye thamani kubwa kwenye masuala ya kibiashara.
Kwa mujibu wa Repucom, Cristiano ndio mwanasoka mwenye mvuto mkubwa wa kibiashara kwa makampuni makubwa duniani kutokana ufuasi mkubwa wa mashabiki alionao hata kupitia mitandao ya kijamii ambako ana likes zaidi ya millioni 82 kwenye Facebook, wakati anayemfatia ni Messi akiwa na likes millioni 57, kwenye twitter Ronaldo tena ameongoza kwa kuwa na wafuasi millioni 26.
ronaldo-vs-messi-portugal-argentina-national-team-captains
Utafiti huu pia umeonyesha Ronaldo anatambulika zaidi duniani kuliko wachezaji wenzie ambapo ameongoza kwa kupata asilimia 87% huku wachezaji wengine waliongia kwenye listi hiyo ya wachezaji wenye mvuto mkubwa wa kibiashara kulingana na umaarufu ni Cristiano Ronaldo, ni pamoja na Lionel Messi, Gerard Pique, Fernando Torres, Wayne Rooney  kwenye Top 5.
List kamili ipo hivi.
article-2641168-1E426A4D00000578-334_634x478-1

0 comments:

Kocha Pep Guardiola amefunga ndoa na huyu mpenzi wake

Screen Shot 2014-05-30 at 3.14.27 AM 
Hatimaye kocha wa klabu bingwa ya Ujerumani Bayern Munich, Pep Guardiola amefunga ndoa na mchumba wake wa muda mrefu Cristina Serra May 29 2014 ikiwa ni ndoa ya kawaida kabisa bila shamrashamra zozote.
2,w=650,c=0.bild
Ndoa imefungwa kiserikali huko Matadepera, Catalonia Hispainia ambapo Pep na mchumba wake Cristina pamoja na watoto wao watatu na wazazi wao, walifanya sherehe ndogo kuhalalisha uhusiano wao na picha zilizopatikana ni hizi hapa chini.
Guardiola mwenye shati la kaki na mkewe Cristina mwenye suruali nyeusi pamoja koti jekundu wakisindikizwa na ndugu zao kwenda kufunga ndoa.
i_MDSIMA20140529_0126_1

0 comments:

Hatimaye Picha za harusi ya Kanye na Kim zimeokena INSTAGRAM zicheki hapa

Kwasiku kadhaa baada ya wawili hao kufunga ndoa (PRIVATELY) majarida na magazeti ya udaku dunia nzima walizisaka sana picha za harusi hii ya mastaa hawa bila mafanikiao...Hatimaye Jana usiku mwanamama Kim Kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM alitupia hizi kadhaa za harusi yao na kufanya wadaku kama sisi kushare na wewe mdau.

 

0 comments:

Leo ni Kumbukumbu ya mwaka 1 toka Albert Mangwea afariki.

ngwea 
Ilikua ni mchana May 28 2013 ndipo zilipotoka taarifa ambazo kulingana na ukubwa wa jina la mangwea Tanzania hakuna aliyekua tayari kuamini kama ni kweli Mangwea kafariki dunia,zilianza taratibu za kuthibitisha taarifa hizi ambapo baadae ilithibitika kweli Mangwea amefariki dunia.
rip
Mpaka sasa ripoti kutoka hospitali ya South Africa familia haijawa tayari kuiweka wazi,kutoka Morogoro nimepata taarifa kuwa leo kutakuwa na ibada asubuhi kisha jioni kutakua na tamasha la kumkumbuka Mangwea ambapo itakua ni kumchangia mama yake Mangwea na imeandaliwa na baadhi ya wadau wa Morogoro na kupata baraka toka kwa Familia ya Mangwea.
IMG-20140525-WA0001

0 comments:

kama unampango wa kwenda Brazil kuangalia kombe la dunia stori hii inakuhusu


brazuka
Mawaziri wa ulinzi nchini Brazil wameweka wazi kuwa zaidi ya vikosi vya kijeshi laki moja na nusu (150,000) vitasambazwa nchini humo kuhakikisha kunakuwa na usalama wa kutosha wakati mashindano ya mwaka huu ya kombe la dunia.
Kwa mara ya kwanza mpira unarejea katika ardhi yake ya nyumbani kwa zaidi ya miaka 60 wakati Brazil ikiwa katika maandalizi ya mwisho ya kuwa mwenyeji wa michuano hiyo mikubwa zaidi duniani ambapo kwa kiasi fulani hali ya usalama imeonekana kuwa si nzuri kufuatia maandamano ya hapa na pale.
brazuka2
Kumekuwa na maandamano ya wananchi wenye hasira wasiotaka mashindano hayo yafanyike, wengi wamekuwa na hasira juu ya kiasi cha pesa kilichotumika kwa ajili ya maandalizi yake zaidi katika kipindi ambacho nchi inakabiliwa na mtikisiko wa kiuchumi.

0 comments:

HUYU NDIYE RAIS MASKINI KULIKO WOTE DUNIANI LIFESTYLE YAKE NI NOUMER CHEKI HAPA






 huyu ni raisi wa uruguay ambaye  ndiye anashikilia rekodi ya rais maskini kuliko wote anapokea mshara wa $12,000 (£7,500) lakini asilimia 90% ya huu mshahara wake anugawa kwa watu kama msaada na anaishi maisha ya kawaida kabisa.
 akiwa kwenye makazi yake


 http://www.standardmedia.co.ke/images/wednesday/PrezzoPoor.jpg
hili ndilo gari analomiliki



akiwa kwenye makazi yake pamoja na mbwa wake




0 comments: