Picha za Baba mzazi wa Joh Makini na Nikki wa II na biashara anayofanya.

Biashara ya madini ndio anayoifanya
Biashara ya madini ndio anayoifanya.
Simon John Mseke ndio jina lake na ana umri wa miaka 49, bado anaonekana ni kijana na akisimama na watoto wake usipoambiwa unaweza kudhani ni watu na kaka yao lakini ukweli ni kwamba huyu ndio baba mzazi.
Anasema alioa mapema sana kipindi hicho akiwa na umri wa miaka 18 ambapo akiwa na miaka 19 ndio alizaliwa staa wa hiphop Joh Makini ambae ameanza kumiliki headlines za bongo kwa uzito zaidi ya miaka mitano iliyopita.
Simon ambae ni mfanyabiashara wa madini anasema ‘muziki wao kwa kweli ni biashara, muziki una faida kubwa sana kwao Joh Makini na Nikki wa II na ninawaombea Mungu wazidi kufanya vizuri zaidi, kwa kweli wamefanya vitu vingi sana vingine siwezi kuvikumbuka kwa sasa ila tayari wamenunua viwanja hapahapa Arusha na wala sio kiwanja kimoja wala viwili’
‘Joh tabia yake ni ya upole toka mdogo na sio muongeaji tofauti na Nikki…. walipoanza muziki sikujua ila nilikuja kuwakutia tu kwenye mtiririko kama Joh alianza akiwa shuleni tu na alikua anatungatunga nyimbo zake hapa nyumbani vivyo hivyo kwa Nikki wa II, sikuwahi kufikiria kuwakataza kwa sababu sikuwahi kufikiria kama ni kitu kibaya’
j1Mzee anasema ‘mimi nasikiliza sana hiphop wala sio kitu ya kuuliza, nyimbo zao ninazozipenda ziko nyingi na nyingine hazijatoka hata redioni… ila napenda Pea, bei ya mkaa na bye bye’
millardayo.com : kuna nyimbo gani nyingine za hiphop Tanzania unazisikiliza?
John Simon: ‘Sijui utasema nawapendelea, nasikiliza zao tu na G Nako na Lord Eyez ndio cd nilizonazo hapa’
j2



j4
SOURCE: MILARD AYO

0 comments:

Unatumia internet kupitiliza? Wataalam waeleza madhara yake kiakili

Wafanyakazi wanaojituma kwa kuendelea kufanya kazi kwenye computer zao 
hata baada ya masaa ya kazi ili kumalizia shughuli zao wanaweza kuwa na 
mafanikio zaidi lakini wana hatari ya kujikuta wamekuwa na uraibu na internet 
na kuhatarisha afya zao za akili, imebainika.

Idadi kubwa ya waajiriwa imekuwa ikifanya kazi nje ya ofisi ili kujiongeza 
kipata na kuborosha career zao lakini kuhatarisha ustawi wao, utafiti mpya 
umebaini. Watafiti katika vyuo viwili vya biashara nchini Uingereza wamesema 
makampuni yanapuuzia matatizo ya wafanyakazi kuanzisha tabia za uraibu huo kama 
vile kuamka usiku kuangalia emails, kuwa na wasiwasi wakiwa mbali na computer, 
sababu walioathirika siku zote huwa waajiriwa bora.
Dr Cristina Quinones-Garcia, wa Northampton Business School, alisema dhana hiyo 
mpya ya wachapakazi kutumia zaidi mtandao kunaboresha ajira zaidi lakini kuna madhara 
pia. ‘Watu hao wanaotumia teknolojia kuwasaidia kufanya kazi nje ya masaa ya kazi 
hufanikiwa zaidi kwenye kazi zao lakini wapo hatarini kuathirika.’
Naye Nada Kakabadse, ambaye ni profesa wa sera, utawala na maadili katika Henley School 
of Business, alisema wachapakazi hujikuta wakivuka mpaka usionekana na kuanza kutumia 
internet zaidi ya inavyotakiwa. Muda wa kula na kulala huharibika, uhusiano huathirika 
na watu huanza kujisikia tofauti wasipotumia computer.
Watafiti hao wanasema waajiri wanatakiwa kuwa na uelewa wa madhara kwa afya ya waajiriwa 
na wanatakiwa kuweka utaratibu kwao wa jinsi ya kutumia internet nje ya ofisi kwa usalama.
 

0 comments:

KCC YAIVUA AZAM FC KOMBE LA MAPINDUZI, YAIFUNGA MABAO 3-2.




David Mwantika na Kipre Tchetche wakimpongeza Joseph Kimwaga baada ya kuifungia Azam bao...

0 comments:

PICHA: ROBERTO CARLOS USO KWA USO NA YANGA NCHINI UTURUKI.

Beki wa kushoto wa zamani wa Real Madrid na timu ya taifa ya Brazil Robert Carlos leo asubuhi  amekutana na wachezaji na viongozi wa Yanga kabla ya mazoezi.

Carlos Kwa sasa ni kocha wa timu ya Sivasspor iliyopo Ligi Kuu nchini Uturuki, Yanga pamoja na Sivasspor zimeweka kambi kwenye hotel ya Sueno Beach zikijiandaa na mashindano mbali mbali yanazikabil,Yanga wakiwa wameweka kambi kujiandaa na raundi ya pili ya ligi kuu ya Vodacom wenzao Sivasspor wanajiandaa na mchezo kombe la chama cha soka nchini humo ambao utachezwa siku ya jumanne.

Roberto Carlos akiwa na wachezaji wa Yanga nchini Uturuki.

    Nizar Khalfan na kocha Charles Boniface Mkwasa wakiwa na Roberto Carlos nchini Uturuki.
Roberto Carlos akiwa na Baraka Kizuguto pamoja na Juma Pondamali.

0 comments:

USHIRIKIANO WA KIBIASHARA WA MESSI, ADIDAS NA FIFA UTAKAVYOMUATHIRI RONALDO KIBIASHARA HATA KAMA AKISHINDA BALLON D'OR


Cristiano Ronaldo amekumbana na habari mbaya kuelekea utoaji wa tuzo ya Ballon d'Or wiki ijayo baada ya kutoka kwa taarifa kuhusu makubaliano ya dili baina ya adidas - wadhamini wakuu wa Lionel Messi - na FIFA.


Katika vipengele vipya vya makubaliano, Adidas wana haki zote za kipekee za promotion ya bidhaa za Fifa Ballon d'Or , wakati Nike, wadhamini wakuu wa Ronaldo na mgombea mwingine wa tuo hiyo Franck Ribery, hawana haki za kibiashara kama ilivyo kwa Adidas kwenye tuzo hiyo.

Kwama maana hiyo inamaanisha kwamba mshambuliaji huyo wa Real Madrid, ambaye anapewa nafasi kubwa ya kutwaa tuzo hiyo, hatoweza kutengeneza fedha nyingi kutoka kwenye ushindi wa tuzo hiyo kama ambavyo Messi amekuwa akitengeneza.

"Ushirikiano huu rasmi wa kibaishara na FIFA Ballon d'or ndio sababu sisi tunaweza kutumia tuzo hii kwa ajili ya shughuli zetu za promotion na kwa maana hiyo, kupitia makubaliano hayo, Nike hawawezi kupata nafasi hiyo," Ben Goldhagen, Senior PR Manager wa Adidas UK na Ireland, alisema
     

Adidas walitengeneza toleo maalum la kiatu cha f50 katika kusindikiza ushindi wa nne wa Ballon d'or wa Messi mwezi January 2013 na wamepanga kutengeneza tena kiatu hicho kwa ajili ya Messi bila kujali matokeo ya tuzo za Ballon d'or yatakuwaje.


Ronaldo na wadhamini wake Nike, hawaruhusiwi kisheria kutengeneza na kuuza kiatu cha namna hiyo ikiwa nahodha huyo wa Ureno atashinda tuzo hiyo.

0 comments:

Huyu ndiye mrithi wa Chris Brown kwa Rihanna

Rihanna has her eyes on another hot dude. She posted a pic of NFL player Mychal Kendricks on her instagram page today and admitted that he's her #MCM. #ManCrushMonday.

Mychal is 23 years old and looks like a healthy version of Chris Brown. Someone should hook them up fast fast!

0 comments:

TAARIFA NZURI KWA MASHABIKI WA REAL HATIMAE XABI ALONZO ASAINI MKATABA MPYA WA MIAKA MIWILI KUBAKI MADRID.

 
Kiungo Xabi Alonzo amekubali kuongeza mkataba wa miaka miwili kuendelea kuichezea klabu ya Real Madrid ya nchini Hispania.
kwenye mkataba huo Alonzo ameongezewa kiasi cha paundi milioni 1.6 kwenye mshahara wake mpya na kufikia paundi milioni 4.95,hapo awali alikuwa analipwa kiasi cha paundi milioni 3.3 kwa mwaka.

0 comments:

YAYA TOURE ASHINDA TENA TUZO YA MWANASOKA BORA WA AFRIKA

Kiungo wa Manchester City Yaya Toure raia wa Ivory Coast ametawazwa kwa mwaka wa tatu mfululizo kuwa mwanasoka bora wa bara la Afrika.

Yaya aliwashinda Mnigeria John Obi Mikel aliyeshika nafasi ya pili na Didier Drogba.

Mara baada ya kupokea tuzo yake Yaya amewashuku kaka zake,Obi Mikel na Drogba.

Super Eagles coach, Stephen Keshi, won African Coach of the Year.

0 comments:

Young Jeezy akanusha kumpiga mwanae aelezea kilichotokea

EXCLUSIVE

0107-young-jeezy-Jadarius-getty
Young Jeezy says he did NOT brutalize his son and make terroristic threats against him ... and claims the whole thing was a set up by his loathsome, greedy, gold digging baby mama who got him arrested.

Sources connected to Jeezy tell TMZ ... the rapper and his 17-year-old son Jadarius did indeed get into a nuclear argument in Sept., 2012, but it never turned really violent.  We're told it started when Jeezy told the teenager he had turned into a punk kid with an attitude and he didn't want the kid staying at his house.

Our Jeezy sources say Jadarius became belligerent and the two starting screaming at each other.  Jeezy claims he never hit, choked, or dragged his son, but admits he shoved him to the ground when Jadarius got in his face.

As for the terroristic threats -- Jeezy is accused of telling Jadarius, "I will kill you ... I will put a bullet in your head right now" -- the rapper claims all he said was something to the effect of, "I brought you into this world and I can take you out of it."

Our sources claim at the bottom of it all ... Tenesha Dykes, whom they say is brainwashing the son against his dad and trying to squeeze every penny she can get from Jeezy.


0 comments:

vituko vya Justin and Selenavyaendelea fuatilia 

EXCLUSIVE

0108-bieber-gomez-provost-rv-camping
Justin Bieber
and Selena Gomez roughed it in the wild over the weekend ... and by roughing it we mean their accommodations weren't quite as nice as the Four Seasons.

The couple that decided love can really work the 11th time around went "camping" near the beach in Santa Cruz, CA ... in an uber-luxury RV at the upscale KOA Kampgrounds.

The kids had a chaperone of sorts ... Justin's dad, with bodyguards in tow. 

The price was sure right to park the Prevost RV -- $65 a night.  BTW ... the RV -- which retails for anywhere between $1.5 - $2.5 mil -- is owned by Chris Brown and it has a big master bedroom, a kitchen, living room and, of course, lots of video games.

JB and Selena spent the day jumping on the camp's trampoline and tooling around on Segways ... in other words, their feet never touched dirt.

Best part ... after they left campers found pieces of Segways.

At least they didn't go off the cliff.


0102_selena_justin_cute_couple_footer

0 comments:

50 Cent Baby Mama # 1 amlalamikia 50 Cent hajamwona  Mwanae  kwa  miaka 2 story nzima ipo hapa

EXCLUSIVE

0108-50-cent-son-getty-instagram

50 Cent ya vijana mwanae anahisi kama yeye nafasi yake imechukuliwa na mtoto mpya  - akisema hajamwona baba yake katika karibu miaka miwili ... kwa kweli, yeye hakuwa hata kujua alikuwa na ndugu yake  mpaka TMZ kuvunja hadithi .Mama Marquise Jackson Shaniqua Tompkins anaelezea TMZ, mara ya mwisho 50 Cent alionana na mwanae mwenye umri wa miaka 17 Marquise ilikuwa Mei 2012, miezi kadhaa kabla ya 50cent kupata mtoto wa pili  jina  Sire Jackson .

0 comments:

Picha: mchungaji kutoka Africa Kusini alivyowafanya waumini wake kula nyasi 

God forgive for saying this, but how stupid can some people be? And how do you follow and obey another human being so blindly? A pastor in South Africa, Pastor Lesego Daniel (you will find his pics after the cut) is making his members eat grass. Yes, grass!

Pastor Daniel, who is the founder and Head Pastor at Rabboni Centre Ministries, situated at Zone 2 Ga-Rankuwa, north of Pretoria, said he was basically trying to prove that humans can be controlled by the spirit and they can eat anything to feed their bodies. I don't know how he managed to convince his members to go outside the church and start eating grass, but he! Unbelievable! See more photos after the cut...



 Pastor Daniel Lesego above

 And see what he's doing here...

0 comments:


Hii ndo halisi  gharama ya video ya “My Number One Remix”?

davido
Naseeb Abdul “Diamond” ameweka kuhusu gharama za video yake ya Number One Remix aliyofanya na director Clarence Peters wa Nigieria.
Diamond anasema gharama hii hazijumuishi usafiri wala accommodation walivyokua huko Nigeria.
Diamond amelipa dola 25,000 sawa na Tsh millioni 40 za kitanzania kufanya production ya hii video ambapo ilijumuisha gharama za kila kitu hadi models na dancers.
source:milard

0 comments:

KWELI EUSEBIO NDIYE MCHEZAHI BORA KUWAHI KUTOKEA NCHINI URENO CHEKI TAKWIMU ZAKE THIDI YA RONALDO ?

0 comments:

HUYU NDO MTOTO WAKIUME WA  ALIKIBA


0 comments: