Smarty Ring: Pete inayounganishwa na smartphone kwa bluetooth, inauwezo wa kupokea simu, na kutumika kama remote control

Pamoja na kuwepo Smartwatches sokoni, sasa kuna pete inayoweza kuunganishwa na smartphone
 na kutoa taarifa (notification) pindi ujumbe, barua pepe, zinapoingia katika simu.

 ni pete inayounganishwa na smartphone kwa bluetooth, na kumuwezesha mtumiaji ku-control 
simu yake hata ikiwa mbali na yeye.
Ina buttons zinazoweza kutumika kupokea simu, na kuplay muziki uliopo katika smartphone ya 
mtumiaji.
LED screen ya pete hiyo huwaka pindi mtu aliyeivaa anapopokea e-mail, ujumbe mfupi, facebook 
na twitter notification, au simu inapoingia, na pete hiyo inaweza pia kutumika kama remote 
control.
Smarty Ring imebuniwa na engineer Ashok Kumar kutoka Chennai, India. 
Pete hiyo imetengenezwa na ‘Bluetooth 4.0 sensor inayoweza kuunganishwa na simu 
yoyote ya Android au  iOS kupitia application maalum ya Smarty Ring

Panapokuwa hakuna notification yoyote kwenye simu, LED screen ya pete hiyo inaonesha muda.
Simu inapoingia, aliyeivaa pete anauwezo wa kuchagua kupokea au kuikata simu kwa kutumia 
buttons ambazo ziko pembeni mwa pete hiyo.

Smarty Ring zitapatikana kwa gharama ya $275 (442,000 Tshs) pindi zitakapoingia sokoni
 April mwakani.Mwezi September wabunifu wengine wa Hungary walitambulisha pete kama hiyo  
 ambayo yenyewe inaonesha muda pekeyake. 

0 comments:

hii ni mikoko(magari ya kifahari anayomiliki iyaya )



0 comments:

hii si ya kukusa Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un, baada ya kumhukumu mpenzi wake kifo sasa ni kwa mjomba  mwenyewe

Months after executing his ex-girlfriend, North Korean 30 year old leader Kim Jong-un, has once again killed someone close to him, his own uncle.

According to Korean Central News Agency, Kim Jong-un executed, Jang Song Thaek, (pictured above being led away yesterday) for allegedly 'trying to overthrow the government'."

Jang Song Thaek had been the leader's adviser and had until recently been regarded as North Korea's second most powerful person after Kim Jong-un.

The 'traitor' was found guilty of treason by a military tribunal and was sentenced to death. He was executed immediately after the hearing.

Jang was removed from his government position at a Ruling Workers' Party politburo meeting on Sunday, he was arrested shortly after that.

Jang was married to Kim's aunt, and had served as vice chairman of the country's top military body for years. Continue to see photos...


The leader and the uncle he executed
Jang pictured left...Kim pictured right
Jang and Kim
After Jang was found guilty

0 comments:


Tamko la Precision Air baada ya ndege yao kupasuka matairi.



ajali



Abiria kadhaa akiwemo aliyekua Waziri Mkuu na Mbunge wa Monduli Edward Lowassa leo December 13 wamenusurika baada ya ndege waliyokuwa wakisafiria kupasuka matairi yote manne ya nyuma wakati ilipokuwa ikitua katika uwanja wa ndege wa Arusha Ijumaa December 13 2013.
Ndege hii mali ya shirika la ndege la Precision aina ya ATR ilipata tatizo hili wakati ikitua Arusha ambapo Matairi yote manne ya nyuma yanaripotiwa kupasuka na kusababisha taharuki kwa abiria.
Jumla ya watu 41 waliokua kwenye ndege hiyo, abiria 39 na wafanyakazi 4 wametoka salama.
PUBLIC NOTICE – OFFICIAL     STATEMENT
Precision Air Flight 422, a flight from Dar es Salaam to Arusha, using ATR 42-600 (code number PWI) departed Dar es Salaam without incident at 11:20am today, 13 December 2013, carrying 37passenger on board. Upon landing in Arusha the aircraft experienced tyre deflation.
All 37 passengers and 4 crews on board are safe.
Due to this, several flights have been impacted and arrangements have been made to re-route some of our flights to uplift our passengers to their various destinations as planned. All direct flights to and from Arusha have been re-routed to Kilimanjaro as per below table due to space constraints in accommodating two ATRs at once at Arusha Airport.
ajaliii 
source:milard ayo

0 comments:

Oprah Winfrey hajutii kutokuwa na mtoto soma zaidi

Oprah 1 
Akiwa na umri wa miaka 59, Mtangazaji hodari wa show za mahojiano duniani Oprah Winfrey ambae miezi kadhaa iliyopita aliitembelea Tanzania kwenye mbuga za wanyama, amesema hajutii kutokuwa na watoto maishani mwake.
Oprah ambae aliwahi kubakwa akiwa na umri wa miaka 14 na kujifungua mtoto ambae hata hivyo alifariki dunia siku chache baada ya kuzaliwa,  anaamini kama angekuwa mama maisha yake ya kazi yangeingiliana na maisha yake ya familia .
Anakwambia ‘kama ningekuwa na watoto kwa hakika watoto hawa wangenichukia, wasingeweza kunipenda kwa kuwa wangeingia kwenye ushindani na kazi yangu, wangekuwa kama watu wengi mnaowaona kwenye show zangu wakizungumzia familia zao kutokuwa na mapenzi na watoto wao, maishani mwao wangekosa kitu muhimu ambacho ni upendo wa mama’

0 comments:

Master J afunguka, asema wasanii wa Bongo ni wezi wanaowanyonya maproducer

 

CEO wa MJ Records na mtayarishaji nguli wa muziki nchini, Joachim Kimaryo 
aka Master J anafahamika kwa kutouma maneno pale anapoamua kufunguka yaliyo 
ndani ya moyo wake. Akihojiwa kwenye kipindi cha ‘The Jump Off’ cha kituo cha radio cha Times FM 
wiki hii, Master J aliamua kudondosha ‘bombshell’ kuwa wasanii wa Bongo ni wezi. Huwezi kuchukua wazo langu uende kulitumia kutengeneza hela halafu uniambie kwamba
 ‘bwana mimi sikupi kitu’, wasanii ni wezi tu Bongo,alisema. Watu wanaogopa kuongea, mimi ngoja niongee tu ukweli, wasanii wa Bongo ni wezi. 
Kitu wanachokifanya ni wizi. Unajua mwizi anakaaga kimya, lakini wanakwenda kwenye 
media wanaropoka ‘nimeingiza milioni 300, kwa kutumikia haki ya Lamar bure na simpi 
kitu. Yaani unaiba halafu unaenda unatangaza kwenye media? Hata hawaogopi! Walivyokuwa hawajui kwamba sheria hairuhusu kufanya hivyo, na kiukweli 
akiamua kupania anapata cha kwake, sema tu maproducer hawafuatilii. Lakini   wanavunja sheria kabisa na ni wezi. Huwezi kufanya hivyo halafu unaenda unatangaza, kaa 
kimya…kula na kipofu. Sio sawa wanavyofanya

0 comments:

Kanye West aziponda tuzo za Grammy kwa kutajwa mara 2 tu, asema ni za ubaguzi wa rangi
 
 
Kanye West haishi kulalamika siku hizi. Awamu hii kama kawaida aliamua kuitumia 
show yake ya Arizona kupaza sauti kuwalalamikia maafisa wa ‘US Recording Academy’ 
kwa kuitosa album yake ‘Yeezus’ kwenye kipengele cha album bora ya mwaka ya tuzo za 
Grammy.

Rapper huyo aliamua kusimamisha kwa muda show yake mjini Phoenix kuelezea kuumia 
kwake kufuatia kutajwa kwa majina ya tuzo hizo yaliyotangazwa wiki iliyopita.
Alisikika akisema: Nina miaka 36 na nina Grammy 21. Hizo ni Grammy nyingi zaidi 
kwa mtu mwenye miaka  36. Katika Grammy hizo 21 sijawahi kushinda Grammy dhidi ya 
msanii mzungu. Majina yalipotoka Yeezus imepata nominations mbili tu kwenye Grammys, 
nini wanachojaribu kusema? Hivi wanadhani siwezi kugundua?
Wanafikiri kwamba, kwa namna moja kwamba nina nguvu ya kuipoteza kabisa 
heshima yao katika wasaa huu?
West amekubali kuwa hajaridhishwa na kutajwa mara mbili tu kuwania tuzo hizo 
ambazo ni album bora ya rap na wimbo bora wa rap ‘New Slaves, na kuongeza:  

0 comments:

MOISE KATUMBI: LENGO LETU MSIMU UJAO KUCHEZA KLABU YA BINGWA YA DUNIA NA KUSHINDA

Mmiliki na mwenyekiti wa timu ya soka ya TP Mazembe kutoka Jamuhuri ya Demokrasia ya Congo Moise Katumbi amesema ana mpango wa kuiimairisha timu hiyo ili iwe na nguvu ya kushiriki katika mashindano ya kidunia, Katumbi anaamini kuwa anaweza kuifikisha timu hiyo katika ngazi ya fainali za kombe la dunia la FIFA kwa ngazi ya vilabu.
Pamoja na TP Mazembe kushindwa katika michuano ya kombe la shirikisho la CAF lakini bado Katumbi anasema anajiandaa vyema na msimu ujao na mashindano mengine."Malengo yetu ni kuleta ushindani mkubwa na ninaamini tunaweza kufikia mafanikio kwa kile tulichonacho sasa"alisema Katumbi.
Katumbi pia ameiambia BBC kuwa iwapo wataimarisha zaidi timu yao na kwamba haoni ni kwanini siku moja TP Mazembe siku moja wasishinde kombe la dunia.
Mwaka 2010, timu hiyo ya soka ya Mazembe ndio iliyokuwa klabu ya kwanza toka bara la Afrika kutinga fainali katika mashindano ya kombe la dunia la FIFA kwa ngazi ya vilabu lakini wakaondolewa na klabu ya Inter Millan ya Italia.
Baada ya michuano hiyo ya michuano hiyo ya shirikisho timu hiyo toka mji wa Lubumbashi nchini Demokrasia ya Congo wanatarajiwa kurejea tena katika michuano ya ligi ya mabingwa mwaka ujao.
Tambo hizi za Mazembe ni kutokana na vipaji vya kutosha kutoka katika shule ya vipaji vya michezo ambapo wanatarajia baada ya miaka mitatu wantakuwa na wachezaji wenye uwezo wa kuwafikisha na kushinda kombe la dunia.
Hata hivyo Katumbi kiongozi wa miongoni mwa timu tajiri barani Afrika amesema kuwa ameweza kuhakikisha fedha zinapatikana ili kuimarisha kikosi chake,kutengezeza uwanja mpya na wa kisasa ikiwa ni pamoja na ununuzi wa ndege ya timu.
Mipango yake katika kupata wachezaji wa kimataifa inaendelea ambapo kwa sasa anawachezaji nchi za nje ambapo kwa ana wachezaji kutoka nchi za Tanzania, Ghana, Zambia, Cameroon, Botswana na hivi karibuni amesajili kutoka Malawi.
Timu hii ya TP Mazembe ni miongoni mwa timu ambazo wachezaji wake wanalipwa vizuri kwa viwango vya Afrika ikiwa ni jitihada za Katumbi kupunguza kaksi ya vipaji vya Afrika kupotelea ulaya.
"Wachezaji wazuri wa Afrika wanakwenda ulaya kwa sababu ya malipo mazuri kutokana na kutolipwa vizuri hapa Afrika" anasema Katumbi.
Katumbi anasema kuwa sera yao ni kuwachukua wachezaji toka nchi za Afrika ili kuonyesha umoja ndania ya bara hilo na kwamba Afrika ni nnzuri lakini kinachotakiwa ni umoja hasa kutokana na mapigano ambayo yamekuwa yakitokea kila siku katika bara la Afrika.
source:shafih dauda

0 comments:


Shindano la miss Tourism Tanzania limefungiwa, kwa sababu gani?


TOURISM Baraza la Sanaa la Taifa limeyafungia mashindano ya urembo ya Miss Tourism Tanzania,s ababu kuu zikiwa mbili.
1. Afisa Habari Mkuu kutoka Baraza la sanaa la Taifa Agness Kimwaga amesema ‘kwanza mashindano Miss Tourism Tanzania 2013 kushindwa kufanya tathmini ya mashindano ya miss Tourism 2012/2013 kwa muda uliokubalika baada ya maonyesho hayo kufanyika, na sababu nyingine ni kukiuka masharti, kanuni, miongozo na taratibu za uendesheaji wa mashindano ya urembo kama zilivyowekwa na serikali kupitia Baraza la Sanaa la Taifa,  hizo ndio sababu za kulifungia shindano kwa muda usiojulikana’
2. ‘Tukiwa na ushahidi uliokamilika kutoka kwa warembo wenyewe waliohusika hatuwezi kufungia kitu pasipo ushahidi, kumbuka mashindano haya yanapokuwa yanaendelea Serikali haikai kwenye zile kambi kwa muda wote wanaokaa kwa kuwa mara nyingi tunapokwenda kutembelea warembo tunawaambia popote panapokua na tatizo watupe taarifa, tusipopata taarifa hatuwezi kumfungia mtu pasipo taarifa, tumekua na taarifa za uhakika toka kwa warembo wenyewe ndo maana tumechukua hatua’
3. ‘Tunasema kwamba unapoendesha shughuli yoyote ya sanaa usifanye vitu ambavyo vinaweza kumdhalilisha mtazamaji au muhusika anaefanya kitu kile kwa hiyo kuna vitu ukifanya vinaweza kumdhalilisha mtu kwa njia moja au nyingine umekiuka kanuni na taratibu mfano kumnyanyasa kijinsia, kwanza kabla ya kukufungia tunakwambia umekosea nini na tunakupa muda kurekebisha yale makosa yaliyofanyika’
4. ‘kama unakumbuka zamani Miss Tanzania watu walikua wanapanda na yale mavazi ya ufukweni yakiwa tupu jukwaani lakini taratibu tumewaambia hairuhusiwi kupanda hivyo hivyo yeyote anaekosea ni lazima arekebishwe, sasa kama tunatuma barua na hakuna kilichorekebishwa inakua ni kinyume na utaratibu’

0 comments:

Barcelona Vs Celtic (6-1) | Neymar Hattrick | 11 kasım 2013

0 comments:

Tanzania bara yaangukia pua cecafa cheki matokeo hapa,kenya bingwa

AET Tanzania 1 - 1 Zambia *
FT Kenya 2 - 0 Sudan

0 comments:

BAADA YA KUSHIKA NAFASI YA PILI - ARSENAL KUCHEZA 16 BORA DHIDI YA AIDHA BARCA, MADRID, ATLETICO, PSG AU BAYERN - TOA MAONI UNGEPENDA IPANGWE NA TIMU GANI?

TIMU ZA ENGLAND DHIDI YA TIMU AMBAZO ZINAWEZA KUPANGWA NAZO KATIKA 16 BORA YA CHAMPIONS LEAGUE. UNGEPENDA TIMU YAKO IPANGWE NA NANI? TOA MAONI…..

ARSENAL
Real Madrid
PSG
Bayern Munich
Atletico Madrid
Barcelona
CHELSEA
Bayer Leverkusen
Galatsaray
Olympiakos
Zenit St Petersburg
AC Milan
MANCHESTER CITY
Real Madrid
PSG
Dortmund
Atletico Madrid
Barcelona
MANCHESTER UNITED
Galatasaray
Olympiakos
Schalke
Zenit St Petersburg
AC Milan

0 comments:

Sign language translator at Nelson Mandela's memorial was a fake!

How embarrassing! Lol. According to South Africa's Deaf Federation, the sign translator who was seen by millions of people on TV translating at Nelson Mandela's Memorial Service yesterday was a fake, who was making up his own signs. SADF said the man, seen moving his hands beside world leaders as they gave their speech at FNB stadium, communicated nothing that made sense. 
"The structure of his hand, facial expressions and the body movements did not follow what the speaker was saying. I was really upset and humiliated. He made up his own signs. What happened at the memorial service is truly a disgraceful thing to see. It should not happen at all. It will be forever aligned with Nelson Mandela & Deaf Community, thanks to this fake interpreter.'  A member of the World Deaf Federation said

0 comments:

Cute family: Paul Okoye wa p-square with his fiancee and son

I hear they are definitely getting married next year. And that little boy is so cute!

0 comments:

Jay Z Nelson Mandela Tribute Finale - Young Forever (Live) Magna Carter ...

0 comments:

Sasa hii ndio ripoti mpya ya Polisi wa New York kuhusu shambulio la Westgate Kenya

nypd 1


Magazeti ya Marekani yameripoti kuwa shambulizi lililofanyika nchini Kenya kwenye jumba la Westgate Naiorbi lilifanywa na watu wasiozidi wanne tu ambapo ripoti hiyo iliyofanyiwa uchunguzi na kitengo cha polisi cha jiji la New York, inapingana na ripoti zilizotolewa na idara za ulinzi nchini Kenya ambazo zilisema shambulizi hilo lilifanywa na watu zaidi ya 15 wakiwemo raia wa nje.
Zaidi ya watu 60 pamoja na wanajeshi sita walipoteza maisha kwenye shambulizi hilo Septemba 21 na magaidi wa kikundi cha al shabab kinachoshirikiana na al qaeda ambapo baada ya kulizunguka jengo la Westgate kwa siku mbili, mamlaka za usalama za Kenya zilithibititsha taarifa kuwa zimerejesha hali ya usalama huku magaidi wanne wakiwa wameuwawa.
nypd
Katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika Jumanne asubuhi, kamishna wa polisi wa New York Ray Kelly amesema wapelelezi hawakujua watu wangapi walihusika na shambulio hilo lakini waliamini kuwa walikuwa watu wanne.
Ripoti hiyo ya NYPD ilisema washambuliaji walibeba silaha nyepesi na hakukuwa na ushahidi unaoonyesha kuwa magaidi hao walijaribu kushika watu mateka baada ya saa 12 na dakika 15 septemba 22.
Ripoti hiyo pia inasema kuwa gaidi kutoka Uingereza ambaye anafahamika kwa jina la White Widow hakuhusika moja kwa moja na tukio hilo japo taarifa nyingi zilionyesha kwamba alihusika na alikuwemo ndani ya Westgate siku ya tukio.
westgate 1
Ripoti nyingine inasema kuwa wanajeshi wa Kenya waliiba vitu kwenye maduka ya westgate na mmoja wa viongozi wa idara ya polisi ya New York mpelelezi Kevin Yorke ambaye aliaandaa na kuwasilisha ripoti hiyo, alikanusha taarifa zilizothibitishwa na Wakenya kuwa magaidi wote walifariki dunia baada ya milipuko kutokea.
Ripoti hiyo inasema kuwa magaidi wanne waliogawanyika kwenye timu mbili za watu wawili waliendesha shambulizi hilo huku wakiwasiliana kwa simu za mkononi na uwezekano upo kabisa kwamba wote walitoroka wakiwa hai.

0 comments:

picha mbalimbali zikionyesha jeneza na gari  alimowekwa Nelson Mandela kusafirishwa kwenda pretoria

The body of late anti-apartheid revolutionary Nelson Mandela this morning arrived at South African government Union Building, Pretoria, where it will lie in state for three days.
The public, invited heads of states and international guests will be able to view his body from today till Friday. He will be buried in his home village of Qunu in Eastern Cape province on Sunday Dec. 15th. See more photos after cut...


 

0 comments:



Kama ulipata taarifa ya kufariki kwa mwigizaji Mzee Small, za awali ziko hapa

Mzee Small 2
Taarifa kwamba mwigizaji wa bongo movie Mzee Small amefariki nilizipata kwenye mida ya saa sita usiku na ni taarifa ambazo wengi waliziamini kutokana na ukweli kwamba mzee huyu amekua akiripotiwa kuugua kwa muda mrefu.
Breki yangu ya kwanza ilikua ni Amana Hospitali saa saba na dakika kumi usiku ambako sikukuta chochote au dalili hata za Wasanii au wahusika wa msiba kuwepo maeneo ya hospitali kama ambavyo huwa ni kawaida, badala yake nilikutana na baadhi ya wahudumu wa hospitali ambao japo sio wasemaji, walikiri kwamba Mzee Small wanamjua na kifo chake hakipo kwenye hospitali yao kama taarifa ilivyosambaa.
Baada ya hapo breki yangu ya pili ilikua nyumbani kwa Mzee Small mwenyewe Tabata ambako kiukweli hakukuwa na mazingira yoyote ya msiba kama ilivyo kawaida kwamba lazima ukute tayari watu wameanza kukusanyika, kulikua kimya na watu walikua wamelala.
Mzee Small
Wakati huohuo nikiwa Tabata nilikutana na mmoja wa waigizaji na pia muandaaji wa movie za Comedy ambae alikua wa kwanza kufika nyumbani kwa mzee huyo saa moja iliyopita kabla ya mimi kufika, anasema ‘Niligonga kwa Mzee Small lakini hawakufungua kwa sababu ilikua usiku, walihofia usalama ila Mke wake kwa dirishani akaniambia Mzee Small ni mzima na amepumzika ndani, maneno hayohayo aliniambia mtoto wake wa kiume kwa dirishani na sikuona pilikapilika zozote za msiba.. yani maisha yako kawaida’
Taarifa nyingine ni kwamba kuna mzee mfupi aliekua akiishi Tabata pia na jina lake jingine anaitwa Mzee Small ndio kafariki, sasa watu ndio wamechanganya wakidhani ni Mzee Small Mchekeshaji.
millardayo.com na AyoTV zitafatilia taarifa hizi kwenye awamu ya mwisho na saa chache zijazo habari itapatikana hapa, unaweza kujiunga na mimi facebook twitter na instagram kwa jina la Millard Ayo ili kuwa karibu zaidi na matukio, likitokea tu nakusogezea kiganjani mwako.
Mzee Small 2
 SOURCE:MILARD AYO.COM

0 comments:

picha maelfu wajilijitokeza kumwombea mandela


























0 comments: