Huyu ndio mwanaume aliacha ‘uume’ wake uliwe na Fisi kwa makusudi.
Kuna
stori nyingine kwenye hii dunia huwa zinaonekana kama za kufikirika tu
na pengine unaweza kushawishika kuona sio za kweli ila ukweli ni kwamba
imetokea kabisa kwenye maisha hayahaya.
Baada ya agizo la mganga, Mwanaume mmoja huko Malawi amemruhusu fisi
ang’ate na kuuondoa uume wake kisa anataka kuwa tajiri na kuachana na
maisha ya tabu aliyoishi kwa miaka mingi.
Chamangeni
Zulu akiwa hospitali baada ya tukio hilo amesema >> “nilikutana
na mganga ambae aliniambia njia kubwa na nzuri kabisa ya kuwa tajiri ni
kutoa sadaka sehemu za mwili wangu ambapo tarehe 24 March 2014 saa kumi
jioni nilikwenda Msituni na kuvua nguo zote kama nilivyoamrishwa,
nikaona fisi akija na alianza kula vidole vyangu vya mguu na kisha
kuanza kuula uume wangu”
Pamoja
na hiyo sentensi fupi ya kusisimua inayoweza kukufanya uwaze mara
mbilimbili baada ya kuifikiria kwa kina, Zulu anasema hasumbuliwi yani,
haimpi shida kujua kwamba hana uume na vidole vyake tena ila tu
anasubiri utajiri wake kama alivyoahidiw
0 comments: