hiki ndicho kisiwa alichofungwa mandela robben island je wajua alikuwa bondia cheki picha zake hapa

 robben island






0 comments:


Kifo cha Mzee Mandela kimemfanya mpaka Nicki Minaj aandike kiswahili.

 nickminaj

Kifo cha Rais wa zamani wa Afrika Kusini kimewasikitisha watu wengi sana wakiwemo watu wa maarufu duniani lakini rapper Nicki Minaj mwenye wafuasi milioni tatu na nusu kwenye instagram amevunja rekodi ya kuwa staa pekee wa dunia ambae nimemuona ameandika yake ya moyoni na kuongezea kwa lugha ya Kiswahili pia.

source :milard ayo




0 comments:

ratiba mechi za kesho uingereza(epl) hii hapa(Matchday 15 ) Asernal uso kwa uso na Everton

                           

0 comments:

World Cup draw makundi haya hapa: England face Italy, Holland v Spain ghana kundi la kifo

 

Vicente del Bosque's men will meet their old foes again, while hosts Brazil will have to deal with Croatia, Mexico and Cameroon
Reigning champions Spain have been paired with Netherlands, Chile and Australia in Group B of the 2014 World Cup.
GROUP A                          
 Brazil                                      
  Croatia
  Mexico
  Cameroon

 GROUP B
  Spain
  Netherlands
  Chile
  Australia
 GROUP C
  Colombia
  Greece
  Cote d'Ivoire
  Japan
 GROUP D

  Uruguay
  Costa Rica
  England
  Italy
 GROUP E
  Switzerland
  Ecuador
  France
  Honduras
GROUP F
  Argentina
  Iran
  Bosnia-Herzegovina
  Nigeria
 GROUP G
 Germany
  Portugal
  Ghana
  USA
GROUP H
Belgium
  Algeria
  Russia
  South Korea

Hosts Brazil, meanwhile, were drawn alongside Croatia, Mexico and Cameroon, while Euro 2012 runners-up Italy will have to deal with Uruguay, England and Costa Rica in Group D.

Group C promises to be an even battle, with dark horses Colombia having been bracketed with Greece, Cote d'Ivoire and Japan, while Group E consists of Switzerland, Ecuador, France and Honduras.

Argentina and Nigeria meet again in Group F, after previously locking horns at the 2010 World Cup, with Iran and debutants Bosnia-Herzegovina completing their section.

Finally, Germany will take on Portugal, Ghana and USA in a strong-looking Group G, with Belgium, Algeria, Russia and South Korea making up Group H.

Next summer's tournament will kick off on June 12 in Sao Paulo, with hosts Brazil meeting Croatia in the opening game.

The group stage comes to an end on June 26, with the first games of the round of 16 to take place only two days later in Belo Horizonte and Rio de Janeiro.

The four quarter-finals will then be staged on July 4 and 5, while the semi-finals take place on July 8 and 9 and the 2014 World Cup winners will be crowned on July 13 in Rio de Janeiro.

0 comments:

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI



Rais wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho
Kikwete amemtumia Salamu za rambirambi Rais Jacob Zuma wa Afrika ya 
Kusini  na kupitia kwake, kwa mkewe Bi. Graca Machel, wanafamilia wote na
wananchi wote wa Afrika ya Kusini kufuatia kifo cha Mzee Nelson Mandela
 kilichotokea  tarehe 5 Desemba, 2013 baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Rais ameuelezea msiba huu kuwa ni msiba mkubwa kwetu sote."Afrika ya Kusini, Afrika na dunia kwa ujumla imepoteza mtu mashuhuri na shujaa mkubwa wa Karne ya 20 na 21.

Tunaelewa  machungu waliyonayo wananchi wa Afrika ya Kusini kwa kupoteza kiongozi shupavu, jasiri, mwana mapinduzi , mvumilivu na
mstahimilivu". Ameongeza Rais Kikwete.

Rais amemuelezea  Mzee Mandela kuwa ni  kielelezo cha aina yake kwa 
wanadamu kwa moyo wake wa kusamehe, huruma na upendo uliomuwezesha 
 kuwaunganisha wananchi wa Afrika ya Kusini kuwa  taifa moja baada ya kipindi 
kirefu cha mapambano dhidi ya ubaguzi wa rangi.

"Mandela  ni mfano bora kwa wanadamu wa  jinsi binadamu muungwana anavyopaswa kuwa . Ni wajibu wa wana Afrika Kusini, Afrika na dunia kwa jumla kuiga mfano wake hasa moyo wake wa uzalendo, kujitolea hata maisha yake kwa ajili yake na wananchi wenzake" .

Rais ameongeza kusema, "Tuzidi kumuombea kwa Mwenyezi Mungu ailaze roho ya Marehemu Mzee Mandela  mahali pema peponi".

Kufuatia kifo hicho Rais ametangaza siku 3 za maombolezo kuanzia leo tarehe 6 hadi 8 Disemba, 2013. Aidha, 

Mheshimiwa Rais ameagiza  kuwa katika siku hizo 3 bendera zote zipepee  nusu mlingoti.

Mwisho.

Imetolewa na;Premi Kibanga,
Mwandishi wa Habari wa Rais Msaidizi,Ikulu,DAR AS SALAAM.06 Desemba,2013


0 comments:

CRISTIANO RONALDO ,GERAD PIQUE,NA WACHEZAJI WENGINE KIBAO WALIVYOMLILIA MANDELA CHEKI WALIVYOANDIKA KWENYE WALL ZAO

                                          
 








source:shaffih  dauda

0 comments: