Cheki picha za Miss Ifm ilivyokua.jana
Chuo
cha usimamizi wa Fedha IFM usiku wa mei 09 walikua wakimtafuta Miss Ifm
ambayo kwao ni kama kumtafuta mwakilishi wao ambaye atakwenda
kuwawakilisha kwenye ngazi zinazofuata za mashindani haya ya urembo.
Burudani toka 254 ilihusishwa ambapo Cmb Prezzo ameburudisha watu
wote waliokuwa ukumbini usiku huo na katika mashindano haya yamemalizika
kwa Lilian Timoth kutamgazwa kuwa ni Miss IFM 2014.
Hizi ni miongoni mwa picha kuanzia Red Carpet mpaka mshindi anapatikana.
credit to:milard ayo (http://millardayo.com/)
0 comments: