hii ndiyo brand new shoes inaojifunga kamba vyenyewe
Ni
miaka 26 tangu tuone viatu vikijifunga kamba zenyewe kama ilivyokuwa
kwenye matangazo ya biashara ya viatu vya Nike vyake Marty McFly
vikijifunga miaka hio. hio
Hilo lilikuwa tu tangazo la bishara
zamani sana lakini kuna mtu ambaye aliwaza hivyo miaka hiyo na kusema
atakuja kuzindua viatu vyenye uwezo wa kujifunga kamba. Na kwake ndoto
hio imetimia.Wahandisi nchini Ujerumani wamebuni viatu ambavyo vina uwezo wa kujifunga kamba.
Walifanikiwa kufanya hivyo kwa kuweka 'cherger'mfano kama ile ya simu kwenye viatu hivyo ambavyo vinatumia kawi kujionea wenyewe itakavyokuwa kwenye miguu tofauti.
Pindi unapovaa kiatu hicho, sensa ya kiatu inakiambia kwamba mguu uko sawasawa na kuchochea kawi kwenye kiatu kile kuamrisha kamba kujifunga zenyewe.
Wakati unataka kuvua viatu utahitajika kubonyeza au kugonga wayo wa kiatu kile mara mbili na vile vile kuna miale inayoamrisha kamba za viatu vile kujifungua kwa kuzilegeza kamba.
Wanasema kiatu hicho hakihitaji kuwekwa kwenye charger au kubadilisha betri kwa sababu kawi inatokana na hatua za kuukanyaga mguu chini kwa mvaaji au anapotembea zile hatua ndizo zinakipatia kiatu nguvu au kawi.
Mmoja wa wahandisi waliokitengeza kiatu hicho, anasema kwamba kiatu hicho kitawasaidia watu wengi.
Miongoni mwa watakaofaidi ni watu wanaokumbwa na ulemavu wa miguu au wenye matatizo ya kutembea lakini pia vinaweza kuwasaidia watoto au kwa wanaotaka tu kubadili mfumo wao wa maisha.
Saa moja ya kutumia viatu hivyo inatosha kuweza kurejesha kawi ya kufunga kamba.
Bwana Ylli na kikundi cha wahandiisi wengine wanashughulikia kifaa kingine ambacho kitawezesha viatu kumuonyesha mvaaji mwelekeo anakokwenda.
hii ndo taarifa nzuri kwa mashabiki na wapenzi wa manchester united
Beki wa
Everton, Seamus Coleman anahusishwa kusajiliwa na Manchester United
wakati huu wanahitaji kutatua tatizo la beki wa kulia
Manchester
United wanatarajia kuwa na kikao leo ijumaa kuamua kama wanahitaji
kutumia fedha nyingi kuboresha safu ya ulinzi wiki mbili zijazo.
Kocha
wa United, Louis van Gaal anakutana na viongozi wa klabu hiyo kuweka
mipango ya usajili katika dirisha dogo na majira ya kiangazi mwaka huu.
Kununua
beki wa kulia itakuwa ajenda kubwa ambapo rada zao zinaangaza kumnasa
beki wa Everton mwenye miaka 26, Seamus Coleman au wa Southampton,
Nathaniel Clyne mwenye miaka 23.
Beki wa Southampton, Nathaniel Clyne (kushoto) pia anahusishwa kusajiliwa na mashetani wekundu.
Van Gaal
ambaye tayari ameshatumia paundi milioni 156 tangu majira ya kiangazi
mwaka jana, anahitaji kuimarisha kikosi chake kwa lengo la kufuzu ligi
ya mabingwa barani ulaya msimu ujao.
taarifa nzuri kwa mashabiki Sunderland
Jermain Defoe akitabasamu wakati alipokuwa anaondoka kwenye akademi ya Light huko Sunderlnad baada ya kufanyiwa vipimo jana.
Jermain Defoe amewasili Sunderland tayari kujiunga na paka hao weusi, huku akisema ana hamu ya kufunga magoli.
Defoe jana alhamisi alifanyiwa vipimo vya afya katika akademi ya Light.
Mshambuliaji
huyo wa zamani wa England alijiunga na timu ya ligi ya Marekani,
Toronto majira ya kiangazi mwaka jana, lakini licha ya kufunga magoli 11
katika mechi 16 alizocheza baada ya kusaini mkataba wa miaka minne,
bado hakutulia na amekuwa akiwindwa na timu nyingi za ligi kuu England.
Defoe (kulia) anatarajia kusaini mkataba Sunderland akitokea timu kubwa ya soka ya Toronto.
Bosi
wa Sunderland, Gus Poyet ameshinda mbio za kumsaini mshambulizi huyo
mwenye miaka 32 ambaye anaamini atawasha moto na kuwaokoa paka weusi na
mkasa wa kushuka daraja.
Ronaldo de Lima kurejea dimbani Je ni ligi gani yote hapo hapa
Mshambuliaji wa zamani wa timu ya taifa ya brazil Ronaldo Luís Nazário de Lima anatarajia kurejea tena dimbani.
De
lima ameahidi kupunguza mwili wake kwa mazoezi kwa lengo la kurejea
uwanjani kukipiga na timu Fort Lauderdale inayocheza ligi daraja la pili
nchi Marekani.Akizungumza na waandishi wa habari Ronaldo mwenye miaka 38 amesema "kucheza soka lazima uwe na mwili mzuri wa nitajaribu ni changamoto nina uhakika nitaisaidia ligi na timu."
Ronaldo alitwaa ubigwa wa kombe la dunia mara mbili mwaka 1994 na 2002 akiwa na kikosi cha Brazil.
Amewahi kuvitumikia vilabu vya Barcelona, PSV Eindhoven, Inter Milan and Real Madrid kwa mafanikio makubwa sana.
Cristiano Ronaldo leo ataingia uwanjani akiwa na stail hii dhidi ya mahasimu wao Atletico Mardid
For winning his third Ballon d'Or, footwear giant Nike has created their
first ever micro-diamond encrusted gold football boots for Cristiano
Ronaldo which he will wear in his next match which is today January 15th
against Atletico Madrid. It's a gift from Nike
The boot, (pictured right) dubbed the Mercurial CR7 Rare Gold, is a gift
from Nike to Ronaldo as a tribute 'to his remorseless work ethic'. The
company explains:
"The micro-diamonds are remnants from larger stones that are painstakingly perfected by craftsmen. As the diamonds are refined & the details sharpened, tiny pieces are cut away, leaving micro-diamonds behind as evidence of work in progress. The commitment to keep chipping away at something already impressive reminded Nike’s design team of Ronaldo’s work ethic. While many see Ronaldo as the best in the world, he sees room for improvement"
unapenda SELFIE,hii inakuhusu
Wale wapenzi wa SELFIE naomba kushare na nyie watu wangu hii story.
Kuna utafiti uliofanywa na Ohio State University Marekani,
unahusu masuala ya athari zinazoweza kusababishwa na watu kupendelea
kupiga Selfie na kupost kwenye mitandao kama Istagram.
Jumla ya watu waliofanyiwa utafiti huo walikuwa 800, umri wao ulikuwa kati ya miaka 18 na 40.
Matokeo yanaonyesha kuwa watu wanaopenda kujipiga Selfie wakiwa peke yao wanakuwa na tabia ya ubinafsi na hawapendi kujichanganya na watu wengine.
Tabia hiyo inaonenaka ‘imekomaa’ zaidi kwa wale wanaopenda kuedit Selfie zao kabla hawajapost kwenye mitandao.
Hayo ni matokeo yao, wewe unasemaje hapo mtu wangu, eti ni kweli? Nitafurahi ukiniandikia chochote kuhusu hii.
ZARI ATUPIA PICHA AKIWA NA WANAWE NAKUWAJIBU WANAOMPONDA KUHUSU MALEZI (Mrs DIAMOND )
"Zala ababo obugumba obukatawanya mxxxuuuuiiiiii. I don't owe anyone an explanation but at the same time I have pple who look up to me and get disturbed by some false news out there.
I love my soldiers. Out of the 365 days in year am responsible for 300 days and the 65 are his..... We both have custody of our soldiers, we both play our roles, We have our arrangements as parents. When you see me out and about its my days off...... he takes over as thier dad too. How come
nobody complains if he is not seen with the kids? Isn't someone supposed to ask, how cme we never see him with the kids? But when it's mummy. Hell breaks loose. Yep 300 days ain't bad for me So next time you see mummy out and about, Just know she has it under control her soldiers are safe and not ABANDONED..... Daddy
plays his role as well naabelanabo it doesn't mean mbambasudewo.....""
Subscribe to:
Posts (Atom)
Popular Posts
- PICHA 8: MJI WA PONGWE CITY TANGA UTAKAVYOKUWA NI NOMAA
- MITINDO YA NYWELE KWA AKINA DADA AMAIZING!!!!!!!!!!!!!!
- Picha 6 za utengenezwaji video mpya ya Ay ‘Asante’
- PICHA ZA VIDEO MPYA YA LINEX FT DIAMOND LOCATION
- MITINDO MBALIMBALI YA KUSUKA KWA WATOTO WA KIKE
- PICHA:hivi ndivyo viwanja kumi na mbili vya kombe la dunia 2014 Brazil
- picha: Iyanya na manager wake kwenye private jet "siku moja wasanii wa bongo nao wafikie hapa walipofikia wanaigeria"
- Picha 6 za H.baba akiwa kwenye kaburi la Cool James ‘Mtoto wa Dandu’
- Picha 17 za Diamond hapa South Africa jinsi ilivyokua akirekodi kolabo na Mafikizolo
- ++++++++EXCLUSIVE+++++++++Picha za 8 Blue Ivy mtoto wa Jay z ambaye anamiaka 2 sasa akiwa na baba yake
Total Pageviews
Blogger news
NANI MSANII KATI YA HAWA NDO MSANII MKALI TANZANIA KWA SASA
Translate
Blog Archive
-
▼
2015
(43)
- ► 06/14 - 06/21 (1)
- ► 04/26 - 05/03 (1)
- ► 02/08 - 02/15 (8)
- ► 02/01 - 02/08 (8)
- ► 01/25 - 02/01 (12)
- ► 01/18 - 01/25 (2)
-
▼
01/11 - 01/18
(8)
- HII dunia kuna watu wanapesa kama unabisha cheki h...
- hii ndiyo brand new shoes inaojifunga kamba vyenyewe
- hii ndo taarifa nzuri kwa mashabiki na wapenzi wa ...
- taarifa nzuri kwa mashabiki Sunderland
- Ronaldo de Lima kurejea dimbani Je ni ligi gani yo...
- Cristiano Ronaldo leo ataingia uwanjani akiwa na ...
- unapenda SELFIE,hii inakuhusu
- ZARI ATUPIA PICHA AKIWA NA WANAWE NAKUWAJIBU WANAO...
- ► 01/04 - 01/11 (3)
-
►
2014
(369)
- ► 12/28 - 01/04 (3)
- ► 12/21 - 12/28 (1)
- ► 11/16 - 11/23 (2)
- ► 09/07 - 09/14 (5)
- ► 08/10 - 08/17 (3)
- ► 07/20 - 07/27 (1)
- ► 07/06 - 07/13 (2)
- ► 06/22 - 06/29 (4)
- ► 06/15 - 06/22 (2)
- ► 06/08 - 06/15 (16)
- ► 06/01 - 06/08 (18)
- ► 05/25 - 06/01 (25)
- ► 05/18 - 05/25 (15)
- ► 05/11 - 05/18 (10)
- ► 05/04 - 05/11 (20)
- ► 04/27 - 05/04 (11)
- ► 04/20 - 04/27 (1)
- ► 04/06 - 04/13 (2)
- ► 03/30 - 04/06 (3)
- ► 03/23 - 03/30 (2)
- ► 03/02 - 03/09 (14)
- ► 02/23 - 03/02 (28)
- ► 02/16 - 02/23 (9)
- ► 02/09 - 02/16 (33)
- ► 02/02 - 02/09 (35)
- ► 01/26 - 02/02 (29)
- ► 01/19 - 01/26 (44)
- ► 01/12 - 01/19 (16)
- ► 01/05 - 01/12 (15)
-
►
2013
(116)
- ► 12/29 - 01/05 (5)
- ► 12/22 - 12/29 (9)
- ► 12/15 - 12/22 (20)
- ► 12/08 - 12/15 (45)
- ► 12/01 - 12/08 (25)
- ► 11/24 - 12/01 (11)
- ► 11/17 - 11/24 (1)
0 comments: