Picha: Wasanii wa Kili Music Tour wawalivyowasili Songea

IMG_6478
Wasanii watakaopanda jukwaani katika tamasha la ziara ya Kili Music Tour wamewasili Songea asubuhi ya leo kwa ajili ya onyesho hilo. Wasanii hao walioongozana na meneja wa Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe waliwasili kwa ndege maalum wakitokea mkoani Dodoma ambako jana walishiriki shughuli ya kitaifa iliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete. Baada ya kuwasili uwanjani moja kwa moja ya wasanii hao walienda Jogoo FM ambako walifanyiwa mahojiano kabla ya kwenda uwanjani kufanya majaribio ya sauti na jukwaa na baadae kwenda hotelini kwa ajili ya kupumzika kabla ya show kuanza. Hizi ni baadhi ya picha:

Meneja wa Kilimanjaro Premium Lager George Kavishe alikuwa rubani msaidizi

Henry Mdimu aliamua kuonyesha anavyomsubiria kwa hamu Shilole

Linex akishuka kwenye ndege
Linex akishuka kwenye ndege
Malkia Khadija Kopa akishuka kwenye ndege iliyowaleta wasanii toka Dodoma

Mwasiti akishuka kwa umakini ngazi za ndege

Diamond Platnumz akiteta jambo na Ommy Dimpoz huku akishuka kwenye ndege

Pozi kwa pozi kwenye ngazi za ndege
Pozi kwa pozi kwenye ngazi za ndege
Shilole
Shilole
Ben Pol akipokelewa na Innocent Nganyagwa ambaye ndiye msimamizi wa wasanii katika Kili Tour
Ben Pol akipokelewa na Innocent Nganyagwa ambaye ndiye msimamizi wa wasanii katika 
Kili Tour
Gnako Warawara
Gnako Warawara
Safari ya kutoka nje ya uwanja 
Safari ya kutoka nje ya uwanja
Mwasiti akiwaongoza wenzake kutoka nje ya uwanja

IMG_6536
Diamond akitoka jengo la abiria waliowasili

GNako akiingia ndani ya Tour Bus
GNako akiingia ndani ya Tour Bus
Linex
Linex
Ben Pol Akiingia kwenye basi
Ben Pol Akiingia kwenye basi
Nikkki wa Pili na wasanii wengine ndani ya Jogoo FM

Ommy Dimpoz akihojiwa ndani ya Jogoo FM
Ommy Dimpoz akihojiwa ndani ya Jogoo FM

0 comments:

picha: Kili Music Tour Songea ilivyobamba

IMG_6657

Wakazi wa Songea wanashuhudia burudani toka kwa wakali wa muziki nchini katika Kili Music Tour ambayo inaendelea hivi sasa uwanja wa Majimaji. Hiki ndicho kinachojiri hivi sasa.

Mashabiki wakiendelea kukata tiketi za kuingia uwanja wa Majimaji

Bia moja ya bure kwa kila shabiki anaekata tiketi ya kuingia ndani

IMG_6620
Eneo maalum la vinywaji na vyakula kwa mashabiki waliojitokeza uwanjani

Tayari mizuka ya Kili Music Tour imeanza uwanja wa Majimaji

Eneo la backstage litakalotumiwa na wasanii

Dullah na Zembwela wanaendelea kufanya amsha amsha kwa kuwapatia mashabiki bia za bure

IMG_6702
Kili Music Tour Songea inafunguliwa nae Shilole

Backstage: Ben Pol akisubiri kupanda jukwaani

Malkia wa mipasho Khadija Kopa akiwarusha roho maelfu waliojitokeza uwanja wa Majimaji

Mashabiki wakiendelea kushangweka na rusha roho ya malkia wa mipasho

Backstage: Profesa Jay na Ben Pol
Backstage: Profesa Jay na Ben Pol
Mwasiti jukwaani na mmoja ya mashabiki waliopata bahati ya kuitwa kuimba nae

IMG_6840
Linex mjeda akiwarusha mashabiki na nyimbo zake kali

Backstage: Meneja wa Kili George Kavishe akiwa na Joh Makini pamoja na Ommy Dimpoz

IMG_6897
Zamu ya mkali wa R&B Ben Pol kuwaimbisha mashabiki

Dimpoz Pozi kwa pozi akiendeleza burudani

Mashabiki wakiomba kupewa jaketi la Ommy Dimpoz

Ommy Dimpoz akiimba kwa hisia kali wimbo wake wa Nani Kama Mama.

Wadau mbalimbali wakiwa na meneja wa Kili George Kavishe

Hakuna Songea bila ngoma ya lizombe ambayo ilitangulia kumkaribisha mtoto wa nyumbani

Profesa Jay jukwaani katika uwanja wa nyumbani

IMG_7056
Diamond platnumz akithibitisha kwa nini alipata tuzo saba katika tuzo za Kili

IMG_7072 IMG_7082IMG_7102
Na hatimaye baada ya makelele mengi ya mashabiki Diamond alimpandisha mpenzi wake Wema Sepetu

DJ Summer wa East Africa Radio kazini
DJ Summer wa East Africa Radio kazini
Zamu ya Weusi kuifunga show
Zamu ya Weusi kuifunga show
IMG_7169
Shabiki akipeperusha kitambaa cheusi kuonyesha mapenzi yake kwa Weusi waliokuwa jukwaani

Umati huu uliojitokeza kwa wingi uwanja wa Majimaji ulitoka ukiwa umeridhika na bonge la show lililotolewa na wasanii wote waliopanda jukwaani