Picha namna Brazil ilivyoichapa Croatia bao 3-1
neymar akifunga penalt ya bao la pili
Neymar akishangilia moja ya magoli aliyofunga jana
kocha wa Brazil akimkumbatia Neymar baada ya goli la kusawazisha
Neymar akishangilia bao lake la kwanza
Neymar akipiga shuti ambalo lilizaa goli la kwanza
bao la kujifunga la Marcelo
NYOTA
aliyebeba matumaini ya Wabrazil wengi, Neymar amefunga mabao mawili
usiku huu katika ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Croatia kwenye mchezo wa
ufunguzi wa fainali za kombe la dunia.
Wenyeji
walijifunga mapema dakika ya 7 ya kipindi cha kwanza baada ya Marcelo
kuujaza mpira nyavuni katika harakati za kuokoa na kuzua ukimya mkubwa
uwanjani kwa mashabiki wa Brazil waliofurika kushuhudia timu yao..
Mambo
almanusura yawe mabaya kwa Brazil wakati Neymar alipomfanyia faulo
mbaya kiungo wa Croatia Luka Modric, lakini mwamuzi Yuichi Nishimura
alimzawadia kadi ya njano tu.
Baadaye
Neymar alifunga bao la kusawazisha kwa shuti la mbali na aliongeza bao
la pili kwa njia ya mkwaju ya penati baada ya mwamuzi kutoa penati
yenye utata kufuatia Dehan Lovren kumfanyia madhambi Fred.
Oscar
alihitimisha karamu ya mabao kwa Wabrazil na kutoka na ushindi wa
kwanza katika michuano ya mwaka huu inayofanyika katika ardhi yao.
- See more at: http://shaffihdauda.com/?p=1982#sthash.VCJql0Gp.dpuf

0 comments: