KILIMANJARO MUSIC AWARD 2015 PICHA NA MATUKIO

KILIMANJARO MUSIC AWARD 2015 PICHA NA MATUKIO

Historia imeandikwa tena 2015.. ilikuwa ikisubiriwa kwa muda mrefu kuona nani ni nani, Mastaa wa muziki wamependekezwa na mashabiki wao alafu kura zikaendelea kupigwa. June 13 2015 ndani ya Mlimani City Dar washindi wametajwa na kukabidhiwa Tuzo zao.. Hapa nina pichaz zao zote, unaweza kucheki kuanzia mwanzo mpaka mwisho burudani ilivyokuwa. credit :milardayo.com ...

Majina ya Wateule wa Kili Music Awards 2015

Majina ya Wateule wa Kili Music Awards 2015

1. MTUMBUIZAJI BORA WA MUZIKI WA MWAKA- KIUME2.MTUMBUIZAJI BORA WA MUZIKI WA MWAKA- KIKE 1MZEE YUSSUF1VANESSA MDEE 2CHRISTIAN BELLA2KHADIJA KOPA 3DIAMOND PLATNUMZ3ISHA MASHAUZI 4ALLY KIBA4SHAA 5NYOSHI EL SAADAT5DAYNA NYANGE 3.MWIMBAJI BORA WA KIUME- TAARAB4. MWIMBAJI BORA WA KIUME- BONGO FLEVA 1MZEE YUSSUF1ALI KIBA 2PRINCE AMIGO2BEN POL 3HASSAN VOCHA3JUX 4HASSAN ALLY4DIAMOND 5MUSSA KIJOTI5BELLE 9 5.MWIMBAJI BORA WA KIUME- BENDI6.MWIMBAJI...