KILIMANJARO MUSIC AWARD 2015 PICHA NA MATUKIO
Historia imeandikwa tena 2015.. ilikuwa ikisubiriwa kwa muda mrefu kuona nani ni nani, Mastaa wa muziki wamependekezwa na mashabiki wao alafu kura zikaendelea kupigwa.
June 13 2015 ndani ya Mlimani City Dar washindi wametajwa na kukabidhiwa Tuzo zao.. Hapa nina pichaz zao zote, unaweza kucheki kuanzia mwanzo mpaka mwisho burudani ilivyokuwa.
credit :milardayo.com
0 comments: