PICHA: MUONEKANO WA SASA WA UWANJA WA SIMBA SC MAENEO YA BUNJU JIJINI DAR
KATIKA historia yake, klabu ya Simba haijawahi kuwa na uwanja wake wa mazoezi, hivyo kujikuta wakihangaika miaka nenda rudi.
Lakini kwasasa unaweza kusema imedhamiria kujenga uwanja wa mazoezi maeneo ya Bunju jijini Dar es salaam.
Ismail Aden Rage alipokaribia
kumaliza muda wake alianza mchakato wa kujenga uwanja wa Bunju akisema
wanataka kupata sehemu ya kufanyia mazoezi.
Pia alisema wanakusudia kujenga
hosteli za kuishi wachezaji ikiwa ni mkakati wa kupunguza gharama ya
kuweka wachezaji hotelini wakati wa kambi.
Uongozi mpya chini ya Rais Evans Elieza Aveva alisema uko tayari kuendeleza ujenzi huo ulioanzishwa na Rage.
Mpaka sasa nyasi zilishapandwa na muonekano wa uwanja uko kama unavyoonekana pichani juu
- See more at: http://shaffihdauda.com/?p=4230#sthash.DsnQWlZb.dpufPICHA: MUONEKANO WA SASA WA UWANJA WA SIMBA SC MAENEO YA BUNJU JIJINI DAR Kitaifa
KATIKA historia yake, klabu ya Simba haijawahi kuwa na uwanja wake wa mazoezi, hivyo kujikuta wakihangaika miaka nenda rudi.
Lakini kwasasa unaweza kusema imedhamiria kujenga uwanja wa mazoezi maeneo ya Bunju jijini Dar es salaam.
Ismail Aden Rage alipokaribia
kumaliza muda wake alianza mchakato wa kujenga uwanja wa Bunju akisema
wanataka kupata sehemu ya kufanyia mazoezi.
Pia alisema wanakusudia kujenga
hosteli za kuishi wachezaji ikiwa ni mkakati wa kupunguza gharama ya
kuweka wachezaji hotelini wakati wa kambi.
Uongozi mpya chini ya Rais Evans Elieza Aveva alisema uko tayari kuendeleza ujenzi huo ulioanzishwa na Rage.
Mpaka sasa nyasi zilishapandwa na muonekano wa uwanja uko kama unavyoonekana pichani juu.
0 comments: