AFCON MATOKEO YA JANA

mechi ya kwanza ilikuwa kati ya Ghana dhidi ya Algeria,ghana ilishinda bao moja kwa 0 lilofungwa na kapteni wa Asamouh Gian dakika ya 93

 mech ya pili ilikuwa South Africa dhidi ya Senegal ambapo matokeo yalikuwa sare ya bao moja kwa moja,South Africa walikuwa wa kwanza kufunga bao dakika ya 47 lilofungwa na   Oupa Manyisa
Senegal wakasawazisha dakika ya 60 na  Serigne Mbodji
MSIMAMO WA HILI KUNDI
1. SENEGAL    POINT 4
2. ALGERIA                  3
3. GHANA                     3
4. SOUTH AFRICA       1

0 comments: