unapenda SELFIE,hii inakuhusu


Selfie Woman
Wale wapenzi wa SELFIE naomba kushare na nyie watu wangu hii story.
Kuna utafiti uliofanywa na Ohio State University Marekani, unahusu masuala ya athari zinazoweza kusababishwa na watu kupendelea kupiga Selfie na kupost kwenye mitandao kama Istagram.
Jumla ya watu waliofanyiwa utafiti huo walikuwa 800, umri wao ulikuwa kati ya miaka 18 na 40.
Matokeo yanaonyesha kuwa watu wanaopenda kujipiga Selfie wakiwa peke yao wanakuwa na tabia ya ubinafsi na hawapendi kujichanganya na watu wengine.
Tabia hiyo inaonenaka ‘imekomaa’ zaidi kwa wale wanaopenda kuedit Selfie zao kabla hawajapost kwenye mitandao.
Hayo ni matokeo yao, wewe unasemaje hapo mtu wangu, eti ni kweli? Nitafurahi ukiniandikia chochote kuhusu hii.

ZARI ATUPIA PICHA AKIWA NA WANAWE NAKUWAJIBU WANAOMPONDA KUHUSU MALEZI (Mrs DIAMOND )


 

ILA tuache utani huyu manzi ni mkaleeeeee Katika kudhihirisha kuwa NI MAMA BORA KWA WATOTO WAKE ZARI AMEWAJIBU WALE WANAODAI KAWATEKELEZA WATOTO WAKE WATATU NA KULA BATA NA DIAMOND__hivi ndivyo alivyopost katika acount yake ya FACEBOOK

"Zala ababo obugumba obukatawanya mxxxuuuuiiiiii. I don't owe anyone an explanation but at the same time I have pple who look up to me and get disturbed by some false news out there.
I love my soldiers. Out of the 365 days in year am responsible for 300 days and the 65 are his..... We both have custody of our soldiers, we both play our roles, We have our arrangements as parents. When you see me out and about its my days off...... he takes over as thier dad too. How come

nobody complains if he is not seen with the kids? Isn't someone supposed to ask, how cme we never see him with the kids? But when it's mummy. Hell breaks loose. Yep 300 days ain't bad for me So next time you see mummy out and about, Just know she has it under control her soldiers are safe and not ABANDONED..... Daddy 
plays his role as well naabelanabo it doesn't mean mbambasudewo.....""

924422_753949534690828_37790630_n

*****BREAKING NEWZ**** Mwana wa Raila Odinga afariki DUNIA


Fidel Odinga mwana wa aliyekuwa waziri mkuu wa Kenya Raila Odinga amepatikana akiwa amefariki nyumbani kwake huko Karen.
Maafisa wa polisi tayari wameanzisha uchunguzi kuhusiana na kifo cha mfanyibiashara huyo ambaye pia amekuwa akionekana katika ulingo wa kisiasa.
Maafisa wa Polisi wanasema kuwa uchunguzi wa mapema umeonyesha kuwa Fidel alikuwa nje usiku wa jumamosi na alirudi mapema jumapili.

Haijulikani ni nini kilichosababisha kifo chake.
Kundi la wabunge pamoja na maseneta liliwasili katika nyumba ya Raila baada ya kupata habari hizo.
Maafisa wanaosimamia kesi hiyo wanasema kuwa wanataka kujua ni wapi Fidel alikuwa usiku wa jumamosi na alikuwa na nani.
SOURCE:BBC SWAHILI

PICHA 6:RAPPER TYGA ANAVYOTANUA NA MDOGO WA KIMKARDASHIAN (MAMA KANYE WEST)

17 year old reality star Kylie Jenner and her 25 year old rapper boyfriend Tyga were spotted leaving together yesterday Friday January 2nd after enjoying an intimate lunch in Calabasas and later they went to the movies at Westlake Village. See more photos after the cut...


mtoto wa Rais wa Nigeria President Jonathan alivyofunga pingu za maisha jana

President Jonathan's other adopted daughter Inebharapu Paul is marrying her man, Simeon Onyemeachi today in Bayelsa. A photo of the president and First Lady at the bride-price-collecting ceremony last night after the cut...




KAA KARIBU NAMI UPATE UPDATE ZAIDI

Picha,Diamond Platnumz Na Zari Njiani,Mpaka Rwanda Na Mapokezi.@mwaka jana


Baada ya show yake ya Burundi, Diamond Platnumz amefunga safari na Zari The Boss lady wakielekea Rwanda ambako kwa mujibu wa Post ya Diamond, atakuwa huko mpaka mwaka 2015.
diamond na zari 1 diamond na zari 2 diamond na zari 3 diamond na zari 4 diamond na zari 5 diamond na zari 6 diamond na zari 7 diamond na zari 8 diamond na zari

Nikki Mbishi atangaza kuacha muziki, haya ndio maneno ya Chid Benz kuhusu ishu nzima


.
.
Baada ya msanii wa Hip Hop Nikki Mbishi aka Baba Malcom kutangaza kuwa ameacha kufanya kazi ya muziki sasa Chid Benz amekanusha taarifa hizo na kusema kuwa ameshafanya mazungumzo na msanii huyo  na kumtaka asichukue uamuzi huo mapema kwani hata yeye amepitia katika changamoto hizo.
Chid Benz alichukua nafasi hiyo kuwataarifu mashabiki wa muziki kupitia ukurasa wa facebook na kuandika ‘Nakanusha habari za Nikki mbishi kuacha mziki,nimeongea nae kama kaka na kumgusia mengi,najua amenielewa na nimemwambia asikubali wale wanaomkubali waanze kukubali wengine.mimi nimekumbana na vingi na watu weengi waliaminishwa kama nimeshushwa kimziki,jimefanyiwa mengi ambayo kwa muda ule nsingeweza kuelezea kila mtu nini kinaendelea,so if kikitokea kibaya kinatangazwa mpk kwenye taarifa za habari mbona mziki hauchezwi?ningekua sina nguvu hio nisingesumbua watu kuniweka front page..but bado nipo na nimekomaa.na naishi na naona wanaopewa kipaumbele na najua bado mimi ni mimi.Iron
.
CREDIT TO:milard ayo