JAMAA ANAYEISHI KWENYE HANDAKI BALAA JIPYA! HANDAKI LACHOMWA MOTO,ANYANG'ANYWA NGUO


Chacha Makenge (38) akiota moto nje ya handaki lake katika eneo la pori la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam sehemu ya Mlimani.

Stori: Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa
CHACHA Makenge (38) aliyeripotiwa awali kuishi ndani ya handaki katika eneo la pori la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam sehemu ya Mlimani, amepatwa na balaa jipya baada ya makazi yake kuvamiwa na askari, kukamatwa na mwishowe kupelekwa Muhimbili kitengo cha wagonjwa wa akili kwa ajili ya matibabu.
Kana kwamba haitoshi, Makenge ambaye aliwahi kuishi katika handaki hilo kwa muda wa miaka mitano, alipotoka, alikuta makazi yake hayo yakiwa yamechomwa moto na vitu vyake vyote kuchukuliwa.

Chacha Makenge akionyesha lilipo handaki hilo.
Akizungumza na gazeti hili, kijana huyo alikiri kutokewa na mambo hayo na kulalamika kuwa kitendo alichofanyiwa, kimempotezea mwelekeo wa maisha yake kwani hana tena sehemu ya kwenda kwa kuwa hakujiandaa.
Alisema alipokamatwa alipelekwa Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa kudhaniwa kuwa ni mgonjwa wa akili, lakini alipingana na madai hayo, licha ya kuwa aliishi kwa siku 36 hospitalini hapo kabla ya kuruhusiwa kuondoka.
Mmoja wa maofisa wa ulinzi wanaolinda chuoni hapo, Mussa Nakuwa aliyeendesha oparesheni ya kumkamata kijana huyo, alisema vifaa vyake vyote vilipelekwa Ofisi ya Ustawi wa Jamii Wilaya ya Kinondoni kwa ajili ya kuhifadhiwa na anaweza kwenda kuvichukua wakati wowote.
Habari zingine kuhusiana na mtu huyo zinadai amechimba mahandaki mengine kadhaa ya siri ambayo anayatumia kwa ajili ya kulala.

KAMA BADO UNATUMIA WINDOW XP KWENYE COMPUTER YAKO HII HABARI INAKUHUSU

Are you still using Windows XP as your operating system? From today Microsoft will no longer offer support their operating system Windows XP. I am one of those culprits who have refused to upgrade because I feel this is not a change I need when I considering my PC uses. This will also mean I will have to say goodbye to a laptop I have had and become attached to since 2007 since it does not have the specs to upgrade to Windows 7 or 8.

So what does this mean exactly? from today if faults detected within the operating system, they will go unfixed.Banks are urged to upgrade their ATMs to a newer OS release as soon as possible as we know 95% of all banks in the world still use Windows XP. There has been efforts from the European banks to get continued support and they have a high price to pay as the UK government agreed to pay more than £5.6 million to Microsoft to continue its support for Windows XP by one year.


If you cannot move on and choose to remain on windows XP you have to ensure that you are protected do this by keeping away from Internet Explorer and use Chrome instead, have a strong antivirus in place, make sure the firewall is set and finally do not store personal information on the browser.
However there are benefits of upgrading for example you will notice that with the newer versions of Windows there are significant changes in the interface and vast improvements in the services available and the overall aim of this is to make the computer less of an appliance and more like a personal device, similar to a phone.

What will you do now that Windows XP won’t be supported by Microsoft? will you finally upgrade? or will you buy a mac or do you want to try linux? Share your resolutions with us.

Huyu ndio mwanaume aliacha ‘uume’ wake uliwe na Fisi kwa makusudi.

Screen Shot 2014-04-02 at 2.52.47 AM 
Kuna stori nyingine kwenye hii dunia huwa zinaonekana kama za kufikirika tu na pengine unaweza kushawishika kuona sio za kweli ila ukweli ni kwamba imetokea kabisa kwenye maisha hayahaya.
Baada ya agizo la mganga, Mwanaume mmoja huko Malawi amemruhusu fisi ang’ate na kuuondoa uume wake kisa anataka kuwa tajiri na kuachana na maisha ya tabu aliyoishi kwa miaka mingi.
Chamangeni Zulu akiwa hospitali baada ya tukio hilo amesema >> “nilikutana na mganga ambae aliniambia njia kubwa na nzuri kabisa ya kuwa tajiri ni kutoa sadaka sehemu za mwili wangu ambapo tarehe 24 March 2014 saa kumi jioni nilikwenda Msituni na kuvua nguo zote kama nilivyoamrishwa, nikaona fisi akija na alianza kula vidole vyangu vya mguu na kisha kuanza kuula uume wangu”
Screen Shot 2014-04-02 at 2.54.35 AM 
Pamoja na hiyo sentensi fupi ya kusisimua inayoweza kukufanya uwaze mara mbilimbili baada ya kuifikiria kwa kina, Zulu anasema hasumbuliwi yani, haimpi shida kujua kwamba hana uume na vidole vyake tena ila tu anasubiri utajiri wake kama alivyoahidiw

Picha 6 za utengenezwaji video mpya ya Ay ‘Asante’


ay4
Kutana na Ay ambae ni staa wa longtime bongoflevani alieianza safari rasmi ya bongofleva mwaka 1998 akitokea Morogoro na kuingia Dar es salaam kwa ajili ya kutafuta maisha aliyoyataka.
Hizi ni picha za video yake mpya ya ‘Asante’ ambayo itadondoka anytime soon kwenye kioo chako ambapo imefanywa nchini Kenya na director ambae mikono yake imeshawahi kufanya kazi kubwa kama za kundi la Camp Mulla.
ay3
Ay1
ay2
ay5
ay6
credit:milard ayo

Haya ndiyo mauzo ya wimbo wa 2030 wa Roma Mkatoliki kupitia Whatsapp.

whatsapp_AP 
Inawezekana kama mitandao ya kijamii ukiitumia vizuri inaweza kukupatia faida kubwa kuna watu kadhaa ambao kupitia mitandao ya kijamii wanendesha maisha yao vizuri miongoni mwao kuna jamaa mmoja anajiita dalali Mkombozi  aliwahi ku-amplify anavyoitumia Instagram kuendesha maisha yake.
ROMA 
Roma Mkatoliki leo ametoa idadi ya pesa alizowahi kuingiza kupitia wimbo wake wa 2030 ambao alianza kwa kuuza kupitia mtandao wa Whatsapp >>’2030 nilikua nauza kwa shilingi 3,000 kuna artist wanatoa album au mixtape ina nyimbo 20 anauza 5,000 ambao unakuta wanaongea huyo Roma ni nani anatoa wimbo anauza 3,000′
‘Badala ya kusaidiwa na wasanii wenzangu ndiyo wananikandia mi Tanga nina ofisi yangu na napokea album kibao nawauzia tu wana,unakuta watu wanaongea mbona wimbo wenyewe taarifa ya habari halafu anauza 3,000,kwa haraka haraka niliuza kama 1,400,000 kwa kipindi kile cha mwanzo’.
Source 255 Clouds Fm.

BUNGA LA KENYA LAPITISHA SHERIA YA KUOA MKE ZAIDI YA MMOJA

Kenyan parliament passes polygamy law

Female politicians storm out after parliament passes law that allows men to to marry as many women as they want.





Listen to this page using ReadSpeaker
Email Article
Print Article
Share article
Send Feedback
Kenya's parliament has passed a bill allowing men to marry as many women as they want, prompting a furious backlash from female politicians.
The bill, which amended existing marriage legislation, was passed late on Thursday to formalise customary law about marrying more than one person.
The proposed bill had initially given a wife the right to veto the husband's choice, but male members of parliament overcame party divisions to push through a text that dropped this clause, the AFP news agency reported.
"When you marry an African woman, she must know the second one is on the way, and a third wife... this is Africa," MP Junet Mohammed told the house, according to Nairobi's Capital FM.
As in many parts of Africa, polygamy is common among traditional communities in Kenya, as well as among the country's Muslim community, which accounts for up to a fifth of the population.
"Any time a man comes home with a woman, that would be assumed to be a second or third wife," said Samuel Chepkong'a, chairman of the Justice and Legal Affairs Committee, the Daily Nation newspaper reported.

TAZAMA PICHA ZA HARUSI YA PAUL OKOYE WA P-SQUARE ILIYOFANYIKA JANA

Harusi ilifanyika Jana jionee Picha mbali mbali hapa chini
First photos of the bride and groom: Paul Okoye & Anita Isama