BREAKING NEWZ:CHEKA AHUKUMIWA MIAKA MITATU JELA


Fransic cheka amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela baada ya kudaiwa kumpiga meneja wa bar yake kwa kuhusishwa na kuingiza hasara
hukumu hiyo imeambatana na faini ya milioni moja atakapotoka kwa ajili ya matibabu ya meneja huyo.

0 comments: