PICHA: MUONEKANO WA SASA WA UWANJA WA SIMBA SC MAENEO YA BUNJU JIJINI DAR
KATIKA historia yake, klabu ya Simba haijawahi kuwa na uwanja wake wa mazoezi, hivyo kujikuta wakihangaika miaka nenda rudi.
Lakini kwasasa unaweza kusema imedhamiria kujenga uwanja wa mazoezi maeneo ya Bunju jijini Dar es salaam.
Ismail Aden Rage alipokaribia
kumaliza muda wake alianza mchakato wa kujenga uwanja wa Bunju akisema
wanataka kupata sehemu ya kufanyia mazoezi.
Pia alisema wanakusudia kujenga
hosteli za kuishi wachezaji ikiwa ni mkakati wa kupunguza gharama ya
kuweka wachezaji hotelini wakati wa kambi.
Uongozi mpya chini ya Rais Evans Elieza Aveva alisema uko tayari kuendeleza ujenzi huo ulioanzishwa na Rage.
Mpaka sasa nyasi zilishapandwa na muonekano wa uwanja uko kama unavyoonekana pichani juu
- See more at: http://shaffihdauda.com/?p=4230#sthash.DsnQWlZb.dpufPICHA: MUONEKANO WA SASA WA UWANJA WA SIMBA SC MAENEO YA BUNJU JIJINI DAR Kitaifa
KATIKA historia yake, klabu ya Simba haijawahi kuwa na uwanja wake wa mazoezi, hivyo kujikuta wakihangaika miaka nenda rudi.
Lakini kwasasa unaweza kusema imedhamiria kujenga uwanja wa mazoezi maeneo ya Bunju jijini Dar es salaam.
Ismail Aden Rage alipokaribia
kumaliza muda wake alianza mchakato wa kujenga uwanja wa Bunju akisema
wanataka kupata sehemu ya kufanyia mazoezi.
Pia alisema wanakusudia kujenga
hosteli za kuishi wachezaji ikiwa ni mkakati wa kupunguza gharama ya
kuweka wachezaji hotelini wakati wa kambi.
Uongozi mpya chini ya Rais Evans Elieza Aveva alisema uko tayari kuendeleza ujenzi huo ulioanzishwa na Rage.
Mpaka sasa nyasi zilishapandwa na muonekano wa uwanja uko kama unavyoonekana pichani juu.
++++BREAKING NEWZ++++++++kama ww ni shabiki wa yanga hii inakuhusu
Hii ndio taarifa iliyochapishwa dakika chache zilizopita katika ukurasa rasmi wa Yanga katika mtandao wa kijamii wa Facebook. KUMRADHI: Wapenzi, wanachama, washabiki na wadau wa soka kwa ujumla, Mechi kati ya Young Africans dhidi ya Big Bullets iliyokua ifanyike leo haitakuwepo. Kwa mujibu wa waandaji wa mchezo huo DRFA timu ya Big Bullets imeshindwa kuwasili nchini, na jitihada za kupata timu nyingine imeshindikana. Tunawaomba radhi kwa usumbufu wote ambao umejitokeza. Daima Mbele Nyuma Mwiko
See more at: http://shaffihdauda.com/?p=5942#sthash.1WSsM1v2.dpuf
Hii ndio taarifa iliyochapishwa dakika chache zilizopita katika ukurasa rasmi wa Yanga katika mtandao wa kijamii wa Facebook.
KUMRADHI:
Wapenzi, wanachama, washabiki na wadau wa soka kwa ujumla,
Mechi kati ya Young Africans dhidi ya Big Bullets iliyokua ifanyike leo haitakuwepo.
Kwa mujibu wa waandaji wa
mchezo huo DRFA timu ya Big Bullets imeshindwa kuwasili nchini, na
jitihada za kupata timu nyingine imeshindikana.
Tunawaomba radhi kwa usumbufu wote ambao umejitokeza.
Daima Mbele Nyuma Mwiko
- See more at: http://shaffihdauda.com/?p=5942#sthash.1WSsM1v2.dpuf
Hii ndio taarifa iliyochapishwa dakika chache zilizopita katika ukurasa rasmi wa Yanga katika mtandao wa kijamii wa Facebook.
KUMRADHI:
Wapenzi, wanachama, washabiki na wadau wa soka kwa ujumla,
Mechi kati ya Young Africans dhidi ya Big Bullets iliyokua ifanyike leo haitakuwepo.
Kwa mujibu wa waandaji wa
mchezo huo DRFA timu ya Big Bullets imeshindwa kuwasili nchini, na
jitihada za kupata timu nyingine imeshindikana.
Tunawaomba radhi kwa usumbufu wote ambao umejitokeza.
Daima Mbele Nyuma Mwiko
- See more at: http://shaffihdauda.com/?p=5942#sthash.1WSsM1v2.dpufBREAKING NEWZZZ! MECHI YA YANGA SC VS BIG BULLETS HAIPO, WAMALAWI HAWAJAWASILI CHINI! Kitaifa
Hii ndio taarifa iliyochapishwa dakika chache zilizopita katika ukurasa rasmi wa Yanga katika mtandao wa kijamii wa Facebook.
KUMRADHI:
Wapenzi, wanachama, washabiki na wadau wa soka kwa ujumla,
Mechi kati ya Young Africans dhidi ya Big Bullets iliyokua ifanyike leo haitakuwepo.
Kwa mujibu wa waandaji wa
mchezo huo DRFA timu ya Big Bullets imeshindwa kuwasili nchini, na
jitihada za kupata timu nyingine imeshindikana.
Tunawaomba radhi kwa usumbufu wote ambao umejitokeza.
Daima Mbele Nyuma Mwiko
BREAKING NEWZZZ! MECHI YA YANGA SC VS BIG BULLETS HAIPO, WAMALAWI HAWAJAWASILI CHINI! Kitaifa

NEY wa mitego afunguka kisa cha plate ya namba 966
Kama wewe ni msikilizaji wa nyimbo za mkali wa bongofleva Nay wa Mitego nina uhakika utakua umeisikia sana namba 966 ambayo huitaja sana kwenye mashairi yake lakini mpaka sasa hajawahi kusema ina maana gani.
Kwenye exclusive na millardayo.com juzi Nay alisema kuna siku tu atakuja kueleza maana ya hii namba pamoja na baadhi ya alama ambazo amekua akizitumia kwenye picha zake za video ambazo zimesababisha Mama yake mzazi kumuita na kutaka amweleze zina maana gani manake amekua akisikia watu wengi wakimwambia kuhusu mwanae.
Pamoja na kwamba wengi walianza kuzihusisha hizi alama na hii namba imani ya kuabudu Miungu, Nay amesema hayuko kwenye dhehebu lolote ambalo linaabudu Miungu, watu wavute subira iko siku atasema kila kitu ikiwemo mipango yake na hii namba ambayo inaonekana ameiandalia kitu kikubwa mpaka kulichukulia gari lake jipya.
Hii namba unayoiona hapa kwenye picha ya kwanza haijamuangukia bahati mbaya bali alifanya namna mpaka akaipata wakati wa kwenda kusajili gari lake kwenye mamlaka ya mapato Tanzania (TRA)
source:millard ayo.com
story mbili mpya kuhusu Diamond Platinumz
Story ya kwanza ni kuhusu ujumbe mrefu aliondika Diamond kupitia ukurasa wake wa
instagram
.
Ujumbe huo unaonekana unaenda kwa msanii fulani japokuwa hakuweka wazi
ni msanii gani. Diamond aliweka post hii na baada ya muda mfupi aliifuta
lakini maneno yote yalikuwa yanasomeka hivi.
“Nafkiri ningewaona kweli Mnaakili na Mapenzi ya dhati kwa Msanii
wenu… kama mngemshauri apunguze Mashoga wapenda anasa na apunguze Stareh
zisizo na Faida, wenda ingemsaidia Pesa kuzitumia kwenye kufanya kazi
na kuleta maendeleo badala ya kuwapa viwanda vya pombe…Mimi kama bwana, wajibu wangu ni kuhakikisha Mpenzi wangu anakula vizuri, anavaa vizuri, analala vizuri, na kumuwezesha mtaji wa kufanyia kazi…. Waswahili wanasema Mchungaji bora anatakiwa kuhakikisha anampeleka Ng’ombe wake Kwenye Maji safi….ila yeye ng’ombe mwenyewe ndio anatakiwa aamue kunywa maji!!!!!
Au mnataka nikishampa mtaji niache kufanya na show tena na kuigiza nimuigizie mie ???? Nisiende Studio nikae dukani nimuuzie mie????.. ni juhudi zako kwanza!… leo hii mimi Hata ningepewa Mamilioni ya mamilioni kama nisingekuwa na moyo wa mie mwenyewe kwanza kutaka kujituma na kupenda kufanya kazi yangu nisingefikia hapa nilipo!….Mxieeeeeeeew!�� Kama nimekuchefua Lamba ndimu Usitapike”.
Story ya pili ni kuhusu Diamond kushinda award ya wimbo bora wa East Africa na wimbo wa Number One. Award hiyo imetolewa nchini Burundi kwenye TTTMAwards.
source/credit to:millard ayo.com
Taarifa za msiba kutoka kwa Afande Sele
Msanii wa longtime kwenye bongofleva Afande Sele amewajulisha watu wake wa karibu na mashabiki kuhusu msiba uliomkuta kwa kufiwa na mama wa wanae.
Kupitia ukurasa wa
facebook
Afande Sele aliandika “Ndugu zangu!! Nimefiwa na mzazi mwenzangu (Asha)
/mama wa wanangu (mama Tunda) ..ni pigo kubwa kwangu na wanangu. Sisi
ni waja wa mwenyezi mungu na hakika kwake tutarejea; mungu ampumzishe
pema.”
Kutoka kulia ni Marehemu Asha, Afande na watoto wake Asante na wa mwisho kushoto ndio Tunda.
Picha 7 za Treni yenye abiria 200 ilivyopata ajali mlimani.
Treni iliyokuwa imebeba abiria zaidi ya 200 imepata ajali kwa kuteleza pembeni ya reli na kusababisha baadhi ya mabehewa kuwa nje ya reli ambapo abiria waliokuwemo ndani ya treni hiyo walilazimika kukimbilia upande wa pili wa treni ili kuepuka lisidondoke kwenye maporomoko.
Juhudi hizo zilisaidia na hakuna mtu aliyefariki kwenye hiyo ajali lakini watu 11 walipata majeraha na watano kati yao kupata majeraha makubwa kwenye hii ajali iliyotokea nchini Uswisi.
source:millard ayo
Subscribe to:
Posts (Atom)
Popular Posts
-
PICHA 8: MJI WA PONGWE CITY TANGA UTAKAVYOKUWA NI NOMAA
-
hili ndilo Tamko la TFF kuhusu tiketi za Ki-elektoniki.
-
picha 8 jinsi vurugu za mashabiki wa simba na yanga zilizopelekea mashabiki kungoa viti
-
KAMA ULIKUWA HUJUI HUYU NDIYE MMILIKI WA YANGA ALIYEAIBUKA, ATAKA KWENDA KWA KIKWETE
-
Taarifa za msiba kutoka kwa Afande Sele
-
++++EXCLUSIVE++++++PICHA 40 ZA HONEYMOON YA MTOTO WA RAIS WA NIGERIA
-
Chris Brown & Wizkid kwenye headlines kubwa nchini marekani
-
(no title)
-
Nikki Mbishi atangaza kuacha muziki, haya ndio maneno ya Chid Benz kuhusu ishu nzima
-
Haya ndiyo mauzo ya wimbo wa 2030 wa Roma Mkatoliki kupitia Whatsapp.
Total Pageviews
Blogger news
NANI MSANII KATI YA HAWA NDO MSANII MKALI TANZANIA KWA SASA
Translate
Blog Archive
-
▼
2015
(43)
- ► 04/26 - 05/03 (1)
- ► 02/08 - 02/15 (8)
- ► 02/01 - 02/08 (8)
- ► 01/25 - 02/01 (12)
- ► 01/18 - 01/25 (2)
- ► 01/11 - 01/18 (8)
- ► 01/04 - 01/11 (3)
-
►
2014
(369)
- ► 12/28 - 01/04 (3)
- ► 12/21 - 12/28 (1)
- ► 11/16 - 11/23 (2)
- ► 09/07 - 09/14 (5)
- ► 08/10 - 08/17 (3)
- ► 07/20 - 07/27 (1)
- ► 07/06 - 07/13 (2)
- ► 06/22 - 06/29 (4)
- ► 06/15 - 06/22 (2)
- ► 06/08 - 06/15 (16)
- ► 06/01 - 06/08 (18)
- ► 05/25 - 06/01 (25)
- ► 05/18 - 05/25 (15)
- ► 05/11 - 05/18 (10)
- ► 05/04 - 05/11 (20)
- ► 04/27 - 05/04 (11)
- ► 04/20 - 04/27 (1)
- ► 04/06 - 04/13 (2)
- ► 03/30 - 04/06 (3)
- ► 03/23 - 03/30 (2)
- ► 03/02 - 03/09 (14)
- ► 02/23 - 03/02 (28)
- ► 02/16 - 02/23 (9)
- ► 02/09 - 02/16 (33)
- ► 02/02 - 02/09 (35)
- ► 01/26 - 02/02 (29)
- ► 01/19 - 01/26 (44)
- ► 01/12 - 01/19 (16)
- ► 01/05 - 01/12 (15)
-
►
2013
(116)
- ► 12/29 - 01/05 (5)
- ► 12/22 - 12/29 (9)
- ► 12/15 - 12/22 (20)
- ► 12/08 - 12/15 (45)
- ► 12/01 - 12/08 (25)
- ► 11/24 - 12/01 (11)
- ► 11/17 - 11/24 (1)