Huyu ndiye mtangazaji mwingine anayetegemea kuingia kwenye Siasa 2015

divaa
Mtangazaji wa Kipindi cha Ala za Roho kutoka Clouds Fm ‘The people’s Station’ leo kwenye akaunti yake ya Instagram amepost picha ikiwa na maneno haya chini.
Screenshot_2014-01-17-09-03-38
‘Natangaza nia ya kugombania ubunge 2015 na kuingia kwenye siasa rasmi 2015,Kama mwanasiasa kijana nina mengi ya kusaidia Taifa na jamii inayotuzunguka yenye vijana wengi,i want to inspire and motivate and i want my voice to be heard,i want to speak up and there’s no turning back,God is Good,i need all strength and i got the big support in this from my close friend,solidarity madaraka kwa umma.
Huo ndiyo ujumbe uliosomeka kwa Diva ingawa bado hajaweka wazi jimbo atakalogombea,Kama atafanikiwa kuingia bungeni Diva atakua kwenye list ya miongoni mwa watangazaji na vijana walioingia kwenye siasa wakiwa na umri mdogo.

0 comments: