(Picha) Ally Kiba amuonesha mpenzi wake, ni mrembo haswaaa..
Ally Kiba anaweza kuwa hasikiki sana kwenye redio miaka ya hivi karibuni na humsikii
akilalamika. Huenda mrembo huyu anaweza kuwa sehemu muhimu katika moyo wake na hivyo
kumfanya azisahau stress za mainstream (kwa sauti ya Godzilla aka Zizi)
Mkali huyo ambaye hivi karibuni alikuwa Nairobi kurekodi collabo yake na Redsan,
amepost picha kwenye Instagram akiwa na mrembo ambaye hakuna shaka kuwa ni ubavu wake
wa pili. Mmmh.. yummy!!
0 comments: