PICHA LORI LA MAFUTA LILONDOKA MILIMA SEKENKE, NA KULIPUKA NA KUUA WATU WANNE
Wananchi wakiangalia lori hilo la mafuta baada ya kuteketea kwa moto baada ya ajali.
Mabaki ya lori hilo bada ya kuteketea.
Baadhi ya wasafiri wakitazama lori lililoungua jioni hii.
Bonde la milima Sekenke linavyoonekana na baadhi ya miti ikiwa imeungua.
0 comments: