Rick Ross na P Diddy watajibu nini baada ya hiki alichokiposti 50 Cent
Mara ya mwisho 50 Cent aliwachokoza Rick Ross na P. Diddy kwa ku-post picha ambayo inaonyesha kama marafiki hao wanataka ku-kiss wakiwa kwenye hatua kupeana hug.
50 Cent amerudia tena kwa ku-post picha ile mwanzo ikiunganishwa na picha mpya ya P.Diddy akiwa na mdau wa muziki Steve Stoute.
Chini ya hiyo picha aliandika “I ain’t saying nothing, but something ain’t right. Lmao.”
Aliandika hivyo ajaribu kuonyesha uwezekano wa hawa watu watatu kuwa na uhusiano ambao sio mzuri kati yao.
50 ali-post picha hiyo kwenye ukurasa wake wa instagram na kuitoa baada ya muda mfupi.
0 comments: