Mtangazaji, Producer na Wasanii wa bongo wakila ndizi kupinga alichofanyiwa mchezaji wa Barcelona.
Mtangazaji wa MKASI TV Salama Jabir kupitia page yake ya instagram @ecejay amepost picha ya mastaa kadhaa wa bongo wakiwemo wasanii D-Knob, Godzilla Producer Marco Chali na wengine wakiungana na wabongo kama Mbunge Zitto Kabwe na wengine duniani kupinga ubaguzi wa mchezaji wa Barcelona Dani Alves wa kutupiwa ndizi uwanjani.
.
0 comments: