picha:Show ya Kili music tour Mwanza jana..
Kili
tour bado inaendelea na list ndefu ya wasanii wamewafurahisha wakazi wa
Mwanza kwa show kali jana May 31 2014 ikiwa ni Tour ambayo
inawajumuisha washindi na washiriki mbalimbali wa tuzo za KTMA 2014.
0 comments: