Picha: Mafikizolo in Nigeria for Davido music collaboration launch

South African top music stars Mafikizolo arrived Lagos late yesterday for the launch of their music collaboration with Davido, Tchelete, tonight.

Mtangazaji, Producer na Wasanii wa bongo wakila ndizi kupinga alichofanyiwa mchezaji wa Barcelona.


Screen Shot 2014-04-30 at 6.02.00 PM
Mtangazaji wa MKASI TV Salama Jabir kupitia page yake ya instagram @ecejay amepost picha ya mastaa kadhaa wa bongo wakiwemo wasanii D-Knob, Godzilla Producer Marco Chali na wengine wakiungana na wabongo kama Mbunge Zitto Kabwe na wengine duniani kupinga ubaguzi wa mchezaji wa Barcelona Dani Alves wa kutupiwa ndizi uwanjani.
.
Screen Shot 2014-04-30 at 5.12.47 PM
Screen Shot 2014-04-30 at 1.50.14 PM

Picha za watu 14 maarufu wakila ndizi kupinga ishu ya Dani Alves, yumo Waziri na msanii Nigeria.


davido
Kwenye mechi kati ya Barcelona na Villareal kuna shabiki mmoja alimrushia ndizi Mbrazil Dani Alves anaeichezea Barca kitendo ambacho kilionyesha kabisa ni ubaguzi wa kufananishwa na Nyani ambapo Dani aliiokota ndizi hiyo na kuila kabla ya kupiga mpira wa kona na kuifanya kama sio ishu.
Baada ya hapo Dani alisema aliamua kula ndizi hiyo kwa sababu baba yake mzazi aliwahi kumwambia kuhusu umuhimu wa mwili wa mwanadamu kupata ndizi.
Ni kitendo kilichosifiwa sana na baadae kuwa topic kubwa ambapo mastaa mbalimbali wamejitokeza kumsupport Dani na kupinga ubaguzi kwa kupiga picha wakiwa wanakula ndizi ambapo miongoni mwao ni Staa wa muziki kutoka Nigeria Davido, mastaa wa soka kama Emmanuel Adebayor, Samuel Eto’o, Neymar na wengine kama wanavyoonekana hapa chini.
TZA SAMUEL ETOO VITA DHIDI YA UBAGUZI WA RANGI
Screen Shot 2014-04-30 at 1.58.22 PM
Screen Shot 2014-04-30 at 1.58.36 PM
Screen Shot 2014-04-30 at 1.58.53 PM
Screen Shot 2014-04-30 at 1.59.24 PM
Screen Shot 2014-04-30 at 1.59.32 PMScreen Shot 2014-04-30 at 2.16.05 PM Screen Shot 2014-04-30 at 2.15.54 PM Screen Shot 2014-04-30 at 2.15.44 PM Screen Shot 2014-04-30 at 2.15.31 PM Screen Shot 2014-04-30 at 2.15.21 PM Screen Shot 2014-04-30 at 2.15.10 PM Screen Shot 2014-04-30 at 2.14.57 PM

HII DUNIA INA REKODI ZA AJABU HUYU NDIYE MWANAUME WA KWANZA ALIYEVUNJA REKODI KWA MCHAFU KULIKO WOTE AISHIYE ULAYA HIZI HAPA.

Europe's dirtiest man Ludvik Dolezal who lives in a hovel spends his nights in buried in hot ash
Ludvik Dolezal burns whatever he finds to create a dirty pile before crawling into it to sleep. He has even burnt his mattress and duvet in order to achieve the perfect mound of fiery remains


Dirty old man: Ludvik Dolezal, 58, burns whatever he finds to create his ¿bed¿ before crawling into it to sleep. He has even burnt his mattress and duvet in order to achieve the perfect mound of fiery remains


Fiery freedom: A year ago, Ludvik Dolezal simply decided to quit his job. Since then he has stayed with the fire

Picha 6 za H.baba akiwa kwenye kaburi la Cool James ‘Mtoto wa Dandu’

Image00002 
H.babakutoka  Mwanza wikiendi iliyopita amefanya ziara ya kutembelea familia ya James Dandu ambayo iko Mwanza ambapo pia alifika mpaka lilipo kaburi lake Ngudu,Kwimba hapo H.baba alipalilia pamoja na kutoa heshima zake kwenye kaburi la Muasisi huyu wa tuzo za Tanzania.
Mbali na kuwa muasisi tu Cool James ambaye alifariki Agost 2002 alikua ni miongoni mwa wasanii wa kwanza kuutangaza muziki wa Bongo Fleva nje ya nchi,Hizi ni picha baadhi ambazo zinamuonyesha H.baba akiwa na familia pamoja kaburi alilozikwa James Dandu.
Image00006
Image00005
Image00003
Image00004
Image00001

JAMAA ANAYEISHI KWENYE HANDAKI BALAA JIPYA! HANDAKI LACHOMWA MOTO,ANYANG'ANYWA NGUO


Chacha Makenge (38) akiota moto nje ya handaki lake katika eneo la pori la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam sehemu ya Mlimani.

Stori: Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa
CHACHA Makenge (38) aliyeripotiwa awali kuishi ndani ya handaki katika eneo la pori la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam sehemu ya Mlimani, amepatwa na balaa jipya baada ya makazi yake kuvamiwa na askari, kukamatwa na mwishowe kupelekwa Muhimbili kitengo cha wagonjwa wa akili kwa ajili ya matibabu.
Kana kwamba haitoshi, Makenge ambaye aliwahi kuishi katika handaki hilo kwa muda wa miaka mitano, alipotoka, alikuta makazi yake hayo yakiwa yamechomwa moto na vitu vyake vyote kuchukuliwa.

Chacha Makenge akionyesha lilipo handaki hilo.
Akizungumza na gazeti hili, kijana huyo alikiri kutokewa na mambo hayo na kulalamika kuwa kitendo alichofanyiwa, kimempotezea mwelekeo wa maisha yake kwani hana tena sehemu ya kwenda kwa kuwa hakujiandaa.
Alisema alipokamatwa alipelekwa Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa kudhaniwa kuwa ni mgonjwa wa akili, lakini alipingana na madai hayo, licha ya kuwa aliishi kwa siku 36 hospitalini hapo kabla ya kuruhusiwa kuondoka.
Mmoja wa maofisa wa ulinzi wanaolinda chuoni hapo, Mussa Nakuwa aliyeendesha oparesheni ya kumkamata kijana huyo, alisema vifaa vyake vyote vilipelekwa Ofisi ya Ustawi wa Jamii Wilaya ya Kinondoni kwa ajili ya kuhifadhiwa na anaweza kwenda kuvichukua wakati wowote.
Habari zingine kuhusiana na mtu huyo zinadai amechimba mahandaki mengine kadhaa ya siri ambayo anayatumia kwa ajili ya kulala.

KAMA BADO UNATUMIA WINDOW XP KWENYE COMPUTER YAKO HII HABARI INAKUHUSU

Are you still using Windows XP as your operating system? From today Microsoft will no longer offer support their operating system Windows XP. I am one of those culprits who have refused to upgrade because I feel this is not a change I need when I considering my PC uses. This will also mean I will have to say goodbye to a laptop I have had and become attached to since 2007 since it does not have the specs to upgrade to Windows 7 or 8.

So what does this mean exactly? from today if faults detected within the operating system, they will go unfixed.Banks are urged to upgrade their ATMs to a newer OS release as soon as possible as we know 95% of all banks in the world still use Windows XP. There has been efforts from the European banks to get continued support and they have a high price to pay as the UK government agreed to pay more than £5.6 million to Microsoft to continue its support for Windows XP by one year.


If you cannot move on and choose to remain on windows XP you have to ensure that you are protected do this by keeping away from Internet Explorer and use Chrome instead, have a strong antivirus in place, make sure the firewall is set and finally do not store personal information on the browser.
However there are benefits of upgrading for example you will notice that with the newer versions of Windows there are significant changes in the interface and vast improvements in the services available and the overall aim of this is to make the computer less of an appliance and more like a personal device, similar to a phone.

What will you do now that Windows XP won’t be supported by Microsoft? will you finally upgrade? or will you buy a mac or do you want to try linux? Share your resolutions with us.