nigeria wako kwenye simanzi baada yakuaga dunia kwa huyu staa wao wa muvi

Yes, it's true! Actor Muna Obiekwe has died. He died this afternoon around 4:15pm in a hospital in Lagos after a battle with kidney failure. He was rushed to the hospital today after he collapsed at his home. Muna has been quietly battling this kidney disease but kept it hush hush from friends and colleagues. So Sad! A colleague said for over two weeks before he died didn't go for his dialysis.


Muna needed money for his health problems but instead of going public to raise money, he told friends he was planning a stage play to raise money but died before he could do it. Unbelievably sad!

Meanwhile, there's some twitter handle called @MunaObiekwe that's denying his death. That is not Muna! Unfortunately the real one is gone. Unbelievable! RIP to a great actor!

HII dunia kuna watu wanapesa kama unabisha cheki hapa private jet ya prince wa saudia ni noumer

OK, let me explain so you know what this is. You know those huge commercial airlines we fly for international travels? The airbus A380 is the largest of them all with about 800 seats and this Saudi Prince customized one of them for his private use. He bought it for a whooping $400million and used another $100million to customize it to his taste. Saudi Oil Prince Alwaleed bin Talal owns the largest private jet in the world, called the 'Flying Palace'. More pics after the cut...


hii ndiyo brand new shoes inaojifunga kamba vyenyewe


Ni miaka 26 tangu tuone viatu vikijifunga kamba zenyewe kama ilivyokuwa kwenye matangazo ya biashara ya viatu vya Nike vyake Marty McFly vikijifunga miaka hio. hio
Hilo lilikuwa tu tangazo la bishara zamani sana lakini kuna mtu ambaye aliwaza hivyo miaka hiyo na kusema atakuja kuzindua viatu vyenye uwezo wa kujifunga kamba. Na kwake ndoto hio imetimia.
Wahandisi nchini Ujerumani wamebuni viatu ambavyo vina uwezo wa kujifunga kamba.
Walifanikiwa kufanya hivyo kwa kuweka 'cherger'mfano kama ile ya simu kwenye viatu hivyo ambavyo vinatumia kawi kujionea wenyewe itakavyokuwa kwenye miguu tofauti.
Pindi unapovaa kiatu hicho, sensa ya kiatu inakiambia kwamba mguu uko sawasawa na kuchochea kawi kwenye kiatu kile kuamrisha kamba kujifunga zenyewe.

Wakati unataka kuvua viatu utahitajika kubonyeza au kugonga wayo wa kiatu kile mara mbili na vile vile kuna miale inayoamrisha kamba za viatu vile kujifungua kwa kuzilegeza kamba.
Wanasema kiatu hicho hakihitaji kuwekwa kwenye charger au kubadilisha betri kwa sababu kawi inatokana na hatua za kuukanyaga mguu chini kwa mvaaji au anapotembea zile hatua ndizo zinakipatia kiatu nguvu au kawi.
Mmoja wa wahandisi waliokitengeza kiatu hicho, anasema kwamba kiatu hicho kitawasaidia watu wengi.
Miongoni mwa watakaofaidi ni watu wanaokumbwa na ulemavu wa miguu au wenye matatizo ya kutembea lakini pia vinaweza kuwasaidia watoto au kwa wanaotaka tu kubadili mfumo wao wa maisha.
Saa moja ya kutumia viatu hivyo inatosha kuweza kurejesha kawi ya kufunga kamba.
Bwana Ylli na kikundi cha wahandiisi wengine wanashughulikia kifaa kingine ambacho kitawezesha viatu kumuonyesha mvaaji mwelekeo anakokwenda.

hii ndo taarifa nzuri kwa mashabiki na wapenzi wa manchester united


24AC4B1100000578-2909619-image-a-11_1421233491627
Beki wa Everton, Seamus Coleman anahusishwa kusajiliwa na  Manchester United wakati huu wanahitaji kutatua tatizo la beki wa kulia
Manchester United wanatarajia kuwa na kikao leo ijumaa kuamua kama wanahitaji kutumia fedha nyingi kuboresha safu ya ulinzi wiki mbili zijazo.
Kocha wa United, Louis van Gaal anakutana na viongozi wa klabu hiyo kuweka mipango ya usajili katika dirisha dogo na majira ya kiangazi mwaka huu.
Kununua beki wa kulia itakuwa ajenda kubwa ambapo rada zao zinaangaza kumnasa beki wa Everton mwenye miaka 26, Seamus Coleman au wa  Southampton, Nathaniel Clyne mwenye miaka 23.
Southampton defender Nathaniel Clyne (left) has also been mentioned as a possible target for the Reds
Beki wa Southampton, Nathaniel Clyne (kushoto) pia anahusishwa kusajiliwa na mashetani wekundu.
Van Gaal ambaye tayari ameshatumia paundi milioni 156 tangu majira ya kiangazi mwaka jana, anahitaji kuimarisha kikosi chake kwa lengo la kufuzu ligi ya mabingwa barani ulaya msimu ujao.

taarifa nzuri kwa mashabiki Sunderland


24B994E400000578-0-image-a-25_1421338570096
Jermain Defoe akitabasamu wakati alipokuwa anaondoka kwenye akademi ya Light huko Sunderlnad baada ya kufanyiwa vipimo jana. 
Jermain Defoe amewasili Sunderland tayari kujiunga na paka hao weusi, huku akisema ana hamu ya kufunga magoli.
Defoe jana alhamisi alifanyiwa vipimo vya afya katika akademi ya Light.
Mshambuliaji huyo wa zamani wa England alijiunga na timu ya ligi ya Marekani, Toronto majira ya kiangazi mwaka jana, lakini licha ya kufunga magoli 11 katika mechi 16 alizocheza baada ya kusaini mkataba wa miaka minne, bado hakutulia na amekuwa akiwindwa na timu nyingi za ligi kuu England.
Defoe (right) is poised to sign for Sunderland from Major League Soccer side Toronto
 
Defoe (kulia) anatarajia kusaini mkataba Sunderland akitokea timu kubwa ya soka ya Toronto.
Bosi wa Sunderland, Gus Poyet ameshinda mbio za kumsaini mshambulizi huyo mwenye miaka 32 ambaye anaamini atawasha moto na kuwaokoa paka weusi na mkasa wa kushuka daraja.

Ronaldo de Lima kurejea dimbani Je ni ligi gani yote hapo hapa

 
Ronaldo de Lima anavyoonekana sasa.
Mshambuliaji wa zamani wa timu ya taifa ya brazil Ronaldo Luís Nazário de Lima anatarajia kurejea tena dimbani.
De lima ameahidi kupunguza mwili wake kwa mazoezi kwa lengo la kurejea uwanjani kukipiga na timu Fort Lauderdale inayocheza ligi daraja la pili nchi Marekani.
Akizungumza na waandishi wa habari Ronaldo mwenye miaka 38 amesema "kucheza soka lazima uwe na mwili mzuri wa nitajaribu ni changamoto nina uhakika nitaisaidia ligi na timu."
Ronaldo alitwaa ubigwa wa kombe la dunia mara mbili mwaka 1994 na 2002 akiwa na kikosi cha Brazil.
Amewahi kuvitumikia vilabu vya Barcelona, PSV Eindhoven, Inter Milan and Real Madrid kwa mafanikio makubwa sana.

Cristiano Ronaldo leo ataingia uwanjani akiwa na stail hii dhidi ya mahasimu wao Atletico Mardid

For winning his third Ballon d'Or, footwear giant Nike has created their first ever micro-diamond encrusted gold football boots for Cristiano Ronaldo which he will wear in his next match which is today January 15th against Atletico Madrid. It's a gift from Nike

The boot, (pictured right) dubbed the Mercurial CR7 Rare Gold, is a gift from Nike to Ronaldo as a tribute 'to his remorseless work ethic'. The company explains:


"The micro-diamonds are remnants from larger stones that are painstakingly perfected by craftsmen. As the diamonds are refined & the details sharpened, tiny pieces are cut away, leaving micro-diamonds behind as evidence of work in progress. The commitment to keep chipping away at something already impressive reminded Nike’s design team of Ronaldo’s work ethic. While many see Ronaldo as the best in the world, he sees room for improvement"