PICHA: ROBERTO CARLOS USO KWA USO NA YANGA NCHINI UTURUKI.
Beki wa kushoto wa zamani wa Real Madrid
na timu ya taifa ya Brazil Robert Carlos leo asubuhi amekutana na
wachezaji na viongozi wa Yanga kabla ya mazoezi.
Carlos Kwa
sasa ni kocha wa timu ya Sivasspor iliyopo Ligi Kuu nchini Uturuki,
Yanga pamoja na Sivasspor zimeweka kambi kwenye hotel ya Sueno Beach
zikijiandaa na mashindano mbali mbali yanazikabil,Yanga wakiwa wameweka
kambi kujiandaa na raundi ya pili ya ligi kuu ya Vodacom wenzao
Sivasspor wanajiandaa na mchezo kombe la chama cha soka nchini humo
ambao utachezwa siku ya jumanne.
Roberto Carlos akiwa na wachezaji wa Yanga nchini Uturuki.
Nizar Khalfan na kocha Charles Boniface Mkwasa wakiwa na Roberto Carlos nchini Uturuki.
Roberto Carlos akiwa na Baraka Kizuguto pamoja na Juma Pondamali.
0 comments: