TAARIFA NZURI KWA MASHABIKI WA REAL HATIMAE XABI ALONZO ASAINI MKATABA MPYA WA MIAKA MIWILI KUBAKI MADRID.

 
Kiungo Xabi Alonzo amekubali kuongeza mkataba wa miaka miwili kuendelea kuichezea klabu ya Real Madrid ya nchini Hispania.
kwenye mkataba huo Alonzo ameongezewa kiasi cha paundi milioni 1.6 kwenye mshahara wake mpya na kufikia paundi milioni 4.95,hapo awali alikuwa analipwa kiasi cha paundi milioni 3.3 kwa mwaka.

0 comments: