Cheki usiku wa Out All Night ulivyokuwa Club Bilicanas juzi.
Ni usiku ambao ulikua umetawaliwa na burudani mbalimbali kutoka kwa wasanii wa Tanzania ndani ya Club Bilicanas,hapa nakuonyesha picha jinsi kilivyo happen ndani ya Bilicanas kulikua na Young Killer,Godzila,Young D,Navykenzo,Mwana Fa,G nako na kutoka XXL ya Clouds Fm alikuepo Adam Mchomvu na Dj Zero.
0 comments: