Picha 18 za kwanza za msiba wa Adam Kuambiana Leaders Kinondoni
Kwa sasa kutoka hapa Leaders ni watu mbalimbali wanatoa heshima zao za mwisho wakiwemo waigizaji mbalimbali ambao marehemu Adam Kuambiana aliwahi kufanya nao kazi na wengine ambao hawakuwahi kufanya nae kazi,kwa mujibu wa ratiba iliyotangazwa mazishi yanategemewa kufanyika saa 9 kwenye makaburi ya Kinondoni.
Miongoni mwa watu waliokuwa na simanzi zaidi mpaka wakashindwa kuongea ni Jb hakumalizia kuongea akawa anataka kudondoka chini
0 comments: