Baada ya dola 300,000, Idris apewa zawadi ya Nyumba na Boss wake

Ama kweli mwenye nacho ndio huongezewa,... Mshindi wa BBA 2014 kutoka Tanzania, Idris Sultan ambae kwa sasa anamiliki dola za kimarekani lakini 3 alizoshinda kupitia BBA.
Idriss amekabidhiwa mjengo unaouona hapo juu na boss wake ambae pia ni mmiliki wa kampuni ya ALOSCO "Ghalib"
Mjengo huo upo maeneo ya Mbenzi Beach na Idris yupo tayarai kwa ajili ya kuhamia weekend hii (Jumapili)

"kwasababu ni kioo cha jamii obviously i need to have a good house, amenipa boss wangu, ndio mwenye kampuni ya ALOSCO, niko nae karibu ya, amenipa, amenipa sasa hivi ina kama mda, nahamia huku jumapili" amesema Idris

Mjengo huo wa Idris, una master mbili na kila master ina mlango kwaajili ya view ya nje na ila leaving room mbili.

0 comments: