KIBOKO YAO CONCERT PICHAZ
Usiku wa Jan 24
ni siku ambayo waimbaji mbalimbali watanzania walishare jukwaa moja
kwenye tamasha la Kiboko yao Concert lililoandaliwa na kampuni ya simu
za mkononi Tigo.
Miongoni mwa waimbaji waliotumbuiza akiwemo;Diamond
Platnumz, Shaa, Vanessa Mdee, Joh Makini, Stamina, Young Dee, Nikki wa
pili, Ben pol, Fid Q, Ay, Mwana FA, Khadija Kopa, Linah na wengineo.
Hizi ni baadhi ya picha kutoka kwenye tamasha hilo.
credit:millard ayo
0 comments: