Picha 8 zipo hapa za Uwanja mpya wa soka uliobomoka Brazil na kuua.
Ni watu wawili wamepoteza maisha baada ya kubomoka kwa sehemu ya uwanja mpya wa mpira wa miguu kwenye mji wa Sao Paulo, uwanja mbao ndio unatarajiwa kufungua mashindano ya kombe la dunia mwaka 2014 nchini Brazil.
Wawili waliopoteza maisha walikua miongoni mwa Wafanyakazi wanaojenga uwanja huo ambapo kubomoka kwa uwanja huu kulitokana na kufeli kwa crane ambapo waliofariki ni Fabio Luiz Pereira, 42, driver/operator of the company BHM Munck pamoja na mjenzi Ronaldo Oliveira dos Santos, 44.
Viwanja vyote 12 vitakavyotumika kwenye mechi za kombe la dunia vimekua vikijengwa kwa kasi ili kumalizika kwa muda uliopangwa na FIFA ambao ni December 2013.
0 comments: