MKESHA WA SHARO MILIONEA LEO.
Ilikua ni mwezi november tarehe 26 mwaka 2012 majira ya sa 2 usiku ndipo ziliposambaa taarifa za kifo cha muigizaji na msanii wa muziki wa kizazi kipya ‘Bongo Fleva’ Husein Ramadhan Mkieti ‘SHARO MILIONEA’.
Leo tarehe 26 november 2013 familia inafanya kisomo kwa ajili ya kumkumbuku ya Sharo milionea huku nyumbani kwao Lusanga-Muheza,Tanga
‘Kuhusu Gari ya Marehemu alikua nayo mudy suma ambaye ni rafiki wa marehemu kwa hiyo Mudy Suma nilimwambia aliuze lile gari,na kweli Mudy Suma kaliuza lile gari na pesa akaniletea.
‘Kwa hiyo bado movie tu ndo ninayoijua katika vitu walivyonambia rafiki zake kuwa marehemu alikua na hiki na hiki ni pamoja na movie kwa hiyo movie bado ndo sijapata hela,nimeambiwa ni movie moja ambayo amecheza yeye na kitale na mudy suma’.Mama sharo
SOURCE:MILARD AYO
0 comments: