TAZAMA P-SQUARE WALIVYOWASILI DAR
Mahojiano na picha za hapa na pale zikiendelea

  Hapa wakifanya mahojiano na kituo cha East Africa TV ambao ndio wenyeji wao.
 Wanamuziki wa kundi la P-Square Peter na Paul baada ya kutua jijini Dar usiku wa kuamkia Juzi. Kushoto ni Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Matina Nkrulu ambao ndio wadhamini wakuu wa onesho lao ambalo limeratibiwa na East Africa Radio na EATV.

0 comments: