boda boda day ililivyokuwa gari la lowassa lilisukumwa
Madereva wa boda boda wa jijini Dar es salaam walijikusanya na kufanya tamasha la pamoja kwenye viwanja vya Leaders,tamasha lililohudhuriwa na watu wa rika mbalimbali pamoja na show kutoka kwa wasanii mbalimbali akiwemo Linex,Makomando na wengine wengi.
Katika Tamasha hilo mgeni rasmi alikua ni Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa monduli Mh.Edward Lowasa ambye aliambatana na Naibu Waziri wa Kazi na Ajira Mh.Dkt.Makongoro na Kamanda wa polisi kitengo cha usalama barabarani Tanzania Dcp Mohammed R Mpinga.
Hizi ni baadhi ya picha kwenye tamasha la boda boda.
0 comments: