Kocha wa makipa wa club ya Simba “James Kisaka” afariki dunia.

FFFFF
Habari ya kuhuzunisha kwenda wapenzi wa soka hasa wa club ya Simba ni kuhusu msiba wa James Kisaka.
Kocha wa makipa timu ya Simba bwana James Kisaka amefariki dunia leo asubuhi kwenye hospitali ya Burhan.
James Kisaka alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya macho,kichwa na miguu kwa muda mrefu.
Mungu ailaze roho ya Kisaka mahali pema na pole ziwafikie familia,wapenzi wa soka na club ya Simba.







379712_654492864594135_585974560_n
source:milard ayo

0 comments: