Chris Brown aingia kwenye headlines nzuri za Christmas.

sds
Chris Brown sio mtu wa matukio mabaya tu wakati mwingine ana-make headlines na vitu vizuri.
Muimbaji wa wimbo wa “This Christmas” ametumia muda wake kuwapa watoto zawadi za Christmas ikiwemo toys na vitu vingine.
Kwa mara ya kwanza C brown amefanya annual holiday toy drive kwenye projects za Brooklyn ikiwa ni njia moja wapo ya kuwakumbuka watoto hasa kipindi hiki cha sikukuu.
“Thank you to all the fans who brought gifts for the kids today. Have a wonderful holiday. You’ve made a merry Christmas for a young child!” Chris Brown alisema hivyo akiwashukuru watu walioleta toys kuungana naye kuwapa zawadi watoto.
Kelvin Hart na Tyga walikuwepo kwenye tukio hili kumpa support Chris Brown.
bb
cb-toy-drive-1
cb-toy-drive-2
cb-toy-drive-6


ffdf
 SOURCE:milard ayo

0 comments: