BREAKING NEWS... ENGINEER FELCHESMI MRAMBA ATEULIWA KUWA MKURUGENZI MTENDAJI WA TANESCO
Engineer Felchesmi Mramba
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete
amemteua Engineer Felchesmi Mramba kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika
la Umeme Tanzania (TANESCO). Taarifa
iliyotolewa Ikulu, Dar Es Salaam leo, Jumatatu, Desemba 2, 2013, na
Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi, Dkt. Florens Turuka inasema kuwa uteuzi huo
umeanza leo hii.
Kabla ya uteuzi wake, Eng. Mramba alikuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu Tanesco
0 comments: