muigizaji wa fast and furious PAUL WALKER alivyopatwa na mauti juzi

 walker aliyekuwa na miaka 40 alipata ajali mbaya ya gari pande za los angel marekani akiwa kwenye gari ya rafiki yake.
 gari walilokuwa wakisafiria liliushika moto na wakuunguza kiac cha kushindwa kutambulika
R.I.P WOLKER

0 comments: