OMMY DIMPOZ KUFANYA COLABO MBILI NA MSANII MKUBWA WA SAUZI OSKIDO CHEKI SIFA ZAKE HAPA
 Ommy Dimpoz akiwa na Oskido

 Oskido
 Ommy Dimpoz akiwa kwenye nyumba ya kifahari ya Oskido
akizaliwa oukasie brits mtayarishaji huyo wa muziki mtumbuizaji na mtangazaji wa radio,record producer na mjasiriamali alikulia Africa kusini(Brits) na Zimbabwe
baadaea oskido alihamia joz ili kufuata ndoto zake na kisha aliaanza kalawa records akiwa laka na christos na kisha kuwa kalawa jazzmee pale wasanii wa trompless mandla 
record label imekuwa mstari wa mbele katika kuwatoa wasanii mbalimbali pamoja na kutengeneza nyimbo za akina Bongo maffin mafikizolo,thebo,Alaska,Proffesor na wengine wengi.
oskido pia ni member wa kundi la Brother of peace .

0 comments: