VAN DAMME ARUDI TENA KWENYE CHATI CHEKI HII VIDEO YA TANGAZO LA VOLVO


jean-claude maarufu kama van damme amegonga vichwa vya habari baada ya kuhusika kwenye tangazo la volvo,katika video hiyo van damme anaonekana akiwa katikat ya magari mawili aina ya volvo mguu m1 umekanyaga kushoto na mwingine kulia huku magari yakirudi nyuma.

0 comments: