Msanii wa Muziki nchini Lucas Mkenda aka Mr.Nice amepata shavu la
kufanya filamu na kampuni ya Vad Film Production iliyopo nchini DenMark.
Vad Film Production ni kampuni inayohusika na masuala ya utengenezaji
filamu za kiafrika ambayo imejikita katika utumiaji wa lugha ya
Kiswahili kwania ya kufikisha ujumbe kamili katika jamii kupitia filamu
zao.
0 comments: